Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599] Kai Havertz has been listed as a midfielder on Arsenal's official website [emoji102] [emoji629]
IMG_20230701_140229.jpg
 
[emoji599] According to @Transfersdotcom

Arsenal are eyeing PSG’s Kylian Mbappe and are contemplating putting together an offer for his representatives. Mbappe’s contract is up at the Parc des Princes next year, meaning that PSG must sell now or risk losing him on a free transfer in 2024
Huyu hatakuja kutuharibia dressing room yetu kweli?
Naona kama Arteta na Edu wanacheza mchezo wawapanikishe Madrid, wamchukue Mbape, then watuuzie Tchuomen
 
Madrid wenyewe wanajua Mbape hawezi kuja kwenye hicho kikundi chenu cha vikoba.

Arteta mwenyewe hana uwezo wa kumfundisha mchezaji ana mpk world cup, wakati yeye mwenyewe kama kocha na mchezaji, ana manager of the month tu kwnye kabat lake.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] dah
 
Madrid wenyewe wanajua Mbape hawezi kuja kwenye hicho kikundi chenu cha vikoba.

Arteta mwenyewe hana uwezo wa kumfundisha mchezaji ana mpk world cup, wakati yeye mwenyewe kama kocha na mchezaji, ana manager of the month tu kwnye kabat lake.
Na sisi wenyewe Arsenal fans hatumtaki
 
Hili jukwaa la Gunners saiv unavolikuta juu ya Thread kila mara kipind hiki cha usajili wanavopiga porojo humu na mbwembwe kibao.

Ngj ligi ianze uone watu wanavopoteana hapa[emoji23]
Wewe ukute timu yako imemaliza ya 12 au inacheza Europa
 
Mm team yng ni yule aliyekunyima furaha msimu huu.

Naona umepagawa mpk umesahau kua tulikupiga vyuma humu had ukaenda majukwaa ya urembo huko[emoji23][emoji23]
 
Madrid wenyewe wanajua Mbape hawezi kuja kwenye hicho kikundi chenu cha vikoba.

Arteta mwenyewe hana uwezo wa kumfundisha mchezaji ana mpk world cup, wakati yeye mwenyewe kama kocha na mchezaji, ana manager of the month tu kwnye kabat lake.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkohoti umejua kuzitaabisha mbavu zangu.
Yaani hawa mashabiki wa Arsenyau laiti timu yao ingebahatika kua hata na Europa Cup sijui hali ingekuaje humu.
 
Hawa kina hamis77 ni matapeli kama matapeli wengne wkt team inapitia kipind kigum walikimbia mbio nyng snaa.

Kipind hiki cha usajil ndo wamerud hapa kuwatapeli tena wenzao kuwajaza matumaini kua ss wanaenda kua tishio baran ulaya [emoji23][emoji23]
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila hamis77 banaaaa.
Kuna kipindi wadau humu wa Arsenyo walipanga kufanya maandamano kwenda mpaka ofisi za DPP ili kushinikiza hamis77 afunguliwe mashtaka ya uhaini kwa kosa la kuwahadaa kua msimu huu lazima wabebe kombe halafu matokeo yake akawakimbia na kuwatelekeza wafuasi wake.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Huyu ni mtu wa ovyo sana alivo jikausha saivi kama sio yy kbs na Tetes zake za usajili
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila hamis77 banaaaa.
Kuna kipindi wadau humu wa Arsenyo walipanga kufanya maandamano kwenda mpaka ofisi za DPP ili kushinikiza hamis77 afunguliwe mashtaka ya uhaini kwa kosa la kuwahadaa kua msimu huu lazima wabebe kombe halafu matokeo yake akawakimbia na kuwatelekeza wafuasi wake.
Wewe shinda humu ,manjesta msimu ujao msipogombea kushuka daraja tupo hapa

Huu msimu 7hag anaweza asifike x mass
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom