Anigrain
JF-Expert Member
- Nov 15, 2020
- 1,698
- 4,284
Broh, Declan ni mchezaji mzuri, hili wala silipingi. Ambacho nazungumzia mimi ni uhalisia wa City kumuhitaji Declan (they are stacked in the midfield position). Binafsi naamini City hawakuwa wanauhitaji wa kweli wa huduma ya Declan, walibid kwa motives zao zingine.
Kwahiyo saizi ndio unaamini walibid kwa motivie zao zingine baada ya kuachana na deal la Rice?
Kwanini hukufikiria hiki kitu wakati wamebid ile £90 kuwa wameweka hela mezani ila watakuwa na motive zingine?
Tatizo ni kwamba mmekariri kila Arsenal akiingia vita na club kubwa waga anashindwa, sasa imekuwa ngumu kukubaliana na huo ukweli kwenye issue ya Rice
Msiishi Kwa kukariri Zama zinachange, Leo hii ata Newcastle anaweza kuzimbia club kubwa na zikagwaya