Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

White was a Brighton Loanee.

MØ was on Getafe’s bench.

Partey was unknown.

Saliba was filming his mates wanking.

Saka was our backup left back.

Martinelli had just left the favella.

Ramsdale had been relegated.

Mikel is changing football with unknown players.
 
King Kai ndani ya Red
IMG_20230626_210320.jpg
 
Telegraph Sport understands that Mikel Arteta and sporting director Edu believe Timber is capable of playing as an inverted right-back, tucking into midfield when Arsenal have possession.

(@SamJDean )
 
GM6 mnamkosea heshima sana
Nisamehe Sana mkuu ,pale first eleven hakuna wakumtoa GM6 , hiko kikos nimekichukua tu ,but siwez kupanga nimuache GM6 ,

kwanza Timber nasikia atacheza RB ya kuinvert kiungo ,hivo Ni ben White ndiye bench linamuhusu

Tuna michuano mingi tunahitaji depth na Quality

Ben white anatakiwa Sasa agombee namba kwa Timber na Saliba

GM6 wapo na Kiwior

LB Kuna Zinny na KT lakini Tomiyasu anagombea namba RB na LB

Kwenye backline kwa depth hii Ni rahisi ku rotate michuano yote FA ,UCL ,EPL na Carabao
 
Telegraph Sport understands that Mikel Arteta and sporting director Edu believe Timber is capable of playing as an inverted right-back, tucking into midfield when Arsenal have possession.

(@SamJDean )
Naona Tieney akibaki Arsenal, Timber akiwa uwanjani sioni sababu ya Zinny kua uwanjani pia, itabidi Tierney aoparate upande wote wa kushoto na sio kumpa KT majukumu ya Inverted LB kama ya Zinny
 
Naona Tieney akibaki Arsenal, Timber akiwa uwanjani sioni sababu ya Zinny kua uwanjani pia, itabidi Tierney aoparate upande wote wa kushoto na sio kumpa KT majukumu ya Inverted LB kama ya Zinny
Kuna mechi unacheza na timu mindset zao Ni kuzuia na kukaa nyuma kusubiri Counter attack kama manjesta ,unaenda na 2-3-5

KT naona akiuzwa ,Arteta amekuwa akimchukulia Ni chaguo la 3 pale Zinny na Tomiyasu wanapokuwa fit maana hao wanaweza ku invert

Klopp misimu miwili nyuma alikuwa anafanya hivo akigundua unazuia tu

Msimu huu mwishoni kaanza kucheza hivo akimtumia TAA Kama Inverted Midfield

Sasa hivi makocha wanabadilika kutokana na mpira wa kisasa unavyotaka

Liverpool vs Leicester

Leicester alikuja na mindset ya kuzuia akawa anashambuliwa na 2-3-5
 
Arsenal value Balogun at 50m pounds. It is thought player wants a permanent depature from Arsenal

(@skysports_sheth via @TheAFCnewsroom )

Kwanini asiondoke Nketiah then abaki balogun? Maana Nketiah alivoenda championship still akufanya chochote lakini huyu dogo kaenda ligue 1 na kakiwasha kwelikweli
 
Kwanini asiondoke Nketiah then abaki balogun? Maana Nketiah alivoenda championship still akufanya chochote lakini huyu dogo kaenda ligue 1 na kakiwasha kwelikweli
Huyo dogo alipewaga nafasi akazingua , Nketiah alikuwa injury , Auba na laca wakawa na Corona ,akapewa nafasi mech na Brentford alionekana ana Safari ndefu Sana kucheza EPL ,toka hapo Arteta hakuwahi kumuamini Tena , Kuna mtu alitaka had tubet nikamwambia Arteta atamuuza tu hawez kumpa nafasi Tena ukizingatia EPL Sasa ina ushindani , Ligue 1 sio kipimo kizuri ,lacazette kule alikuwa anafukuzana na mbappe na Messi ,

Nasikia wanamuuza maana kwanza anataka ahakikishiwe namba mbele ya Jesus ,Nketiah , Trossard na Kai ,wote hao wanacheza false 9 ,

Kuna tetesi wataweka kipengere Cha kumnunua Tena wakimtaka
 
Man city kajitosa

£80m +10add ons

Now it's up to Arsenal to respond

Within 24hrs inatarajiwa ofa kutumwa
 
A lot here will depend on the payment schedule & feasibility of add-ons.

But with City and Arsenal now going head to head, West Ham will feel they can probably achieve £100m, if not more.

Player’s preference, one imagines, will ultimately be decisive.
 
Huyo dogo alipewaga nafasi akazingua , Nketiah alikuwa injury , Auba na laca wakawa na Corona ,akapewa nafasi mech na Brentford alionekana ana Safari ndefu Sana kucheza EPL ,toka hapo Arteta hakuwahi kumuamini Tena , Kuna mtu alitaka had tubet nikamwambia Arteta atamuuza tu hawez kumpa nafasi Tena ukizingatia EPL Sasa ina ushindani , Ligue 1 sio kipimo kizuri ,lacazette kule alikuwa anafukuzana na mbappe na Messi ,

Nasikia wanamuuza maana kwanza anataka ahakikishiwe namba mbele ya Jesus ,Nketiah , Trossard na Kai ,wote hao wanacheza false 9 ,

Kuna tetesi wataweka kipengere Cha kumnunua Tena wakimtaka

Nadhani dogo hajapewa chance kama aliyopewa nkentiah. Mwaka huu kakiwasha kweliii ligue1 aanze kupimwa kuanzia sasa maana ndo kwanza yupo 21 years si sawa na Nketiah toka kipindi cha wenger , unai mpaka arteta still yuko vilevile. Ligue1 sawa sio kipimo kizuriii lakini naamini Nketiah asingefikisha goals kama za balogun .
 
Understand Arsenal will respond to Man City official proposal submitted tonight for Declan Rice. #AFC

Arsenal will bid again after 2 proposals rejected in the recent weeks. They are not giving up at this stage.

…both City and Arsenal had plans to bid for Rice this week.
 
Nadhani dogo hajapewa chance kama aliyopewa nkentiah. Mwaka huu kakiwasha kweliii ligue1 aanze kupimwa kuanzia sasa maana ndo kwanza yupo 21 years si sawa na Nketiah toka kipindi cha wenger , unai mpaka arteta still yuko vilevile. Ligue1 sawa sio kipimo kizuriii lakini naamini Nketiah asingefikisha goals kama za balogun .
Ngoja tumuone pre season
 
Back
Top Bottom