Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kwa hio na wewe HENRY14 unataka kuamini kabisa kua Arsenal wachezaji wake wanathamani kubwa kuliko Buyern Munich na Chelsea.
Kisa Asaninyau ameshika nafasi ya pili kwenye ligi nyuma ya City basi na kwenye kila kitu mnaamua tu wenyewe kujiweka kwenye nafasi ya pili?
Daaahhh kweli nimeamini kushabikia Arsenyani lazima kwanza uwe msukule.
 
Unaongelea Most valuable squad halafu Title unaandika Most valuable Club?
Hebu kuweni Serious basi japo kidogo, msiwe mnapenda kujitoa ufahamu ili tu kufurahisha makondoo ya mchungaji Mackenzie.
 

Attachments

  • 1687818625812.jpg
    124.6 KB · Views: 4
  • 1687764295114.jpg
    106.3 KB · Views: 8
Aidha alikurupuka au kama kawaida kajibu kishabiki...ndo maana mengine unaangalia then unakausha maana mtabishana mpk kesho hapo
Sijakurupuka na wala sikuongea kiushabiki.
Kama alikua anaongelea Most valuable squad kwa nini Title iwe ni Most valuable Club?
Kwanza hata hio valuable Squad Arsenyau yuko nafasi ya 4 huko nyuma ya Chelsea na Buyern.
 
😆😂😆😂
😆😆😆😆 Labda hao waliotengeneza hiyo graphic hawajui kiingereza pia. Inabidi watu wenye akili kubwa kama Arsenal fans wachambue waielewe ila ukiwa nyumbu huwezi elewa. Kwanza wote mmeleta graphics zinazosema source ni Transfermarkt lakini moja inasema Arsenal wa pili, ingine inasema tofauti.

Pia ni rahisi kufikiri kuwa huenda mchezaji Chelsea alinunuliwa Kwa thamani kubwa lakini akiwa hapo akashuka thamani hivyo akiwekwa sokoni hana thamani kubwa. Mfano Kepa wa kununuliwa 72m huko saivi nyie nyumbu mtanunua Kwa ngapi mkimtaka.?

Yule Antony mtoto wa uswazi na mpira wa mchangani mliemnunua 100 huko mkimweka sokoni hata 10 hampati. Bado kuna Sanchoka aliyechoka kweli kweli. 75m kumnunua . Hata 40 mtapata kwake? Halimagwaya 80 hakuna mtu atamchukua hata bure
 
Arsenal walishamalizana na Lavia wiki 2 zilizopita personal term


Wamemwambia atulie ,Arsenal akamilishe deals za Timber na Rice ,halafu wamuuze Partey


Wakala wake Lavia ndiye Huyo Huyo anayewasimamia Saka,Nketiah, balogun ,
Sure, Lavia ni replacement ya Partey labda dogo ajifelishe mwenyewe kwenda Liverpool.
 
Kupitia hii saga la Rice

Aisee Mbio za Ubingwa zimeanza mapema Sana

Tunarud leo na £92m +10 add ons

£45m inalipwa upfront

Itakuwa accepted

Kama City akipandia zaidi ya £100m+ Basi Sion tukiweka mzigo Tena mezani

Pep kaenda likizo nasikia kaacha majina matatu mezani Kova ,Gvadiol na Rice
 
Ben White kurudi kucheza CB , unakuwa Kama usajili mpya

Atagombea namba na Saliba

Arteta is crazy about Timber and sees him as a missing puzzle piece to take Arsenal up a level. Albert Stuivenberg first made Arteta look at the player. Holding will be let go and White could be moved to Cb

(@ADSportwereld)
 

City intend to effect payments in two installments whereas arsenal propose more than two within a lengthy period(5 years)
 
City intend to effect payments in two installments whereas arsenal propose more than two within a lengthy period(5 years)
Nasikia alichoongeza Ni upfront tu ya £5m

Ila ofa yao haina utofauti na ya Arsenal,

Imekataliwa muda huu

West Ham have turned down Man City offer for Declan Rice. #MCFC made formal proposal last night worth £80m + £10m add-ons. #WHUFC unimpressed & quickly rejected it. #Arsenal have seen 2 bids rebuffed but remain determined to sign 24yo @TheAthleticFC #AFC

[@David_Ornstein]
 
Hiyo habari haitaji chanzo, wapiga porojo kwenye media ni wengi nazo ni vyanzo
Ukweli ni kwamba City wakiwa serious, Rice atapenda kwenda City kuliko Arsenal labda kama Rice haelewani na PEP maana ndio kizuizi kikubwa kwa mchezaji. Mchezaji mkubwa anahitaji kukaa chini ya kocha wanaoelewana naye
Msidharau hii ili baadaye msije mkaumia sana
 
"
Labda hao waliotengeneza hiyo graphic hawajui kiingereza pia"

hii picha kuna muhuni mmoja amei edit, kama sio mchungaji Mckenzie basi kuna msukule mwingine uliofanya hivyo na kwa vile njia ya muongo ni fupi ikajikuta tu imejichanganya kwenye kuandika title.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…