Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Tunahitaji vifaa nguvukazi pale nyuma kwa hawa tulionao akina skilachi naona tumeumia, kwa kweli bodi sijui wanakusudia nini, hela ipo ila mpaka sasa msimu unaanza hakuna marekebisho ambayo sote tunajua yalihitajika kitambo, hivi wamekusudia nini? Mbona wanatuchezea hawa?
Naona wanataka tuigeuze Emireti kuwa Tahrir square, shenzitaipu.

Reactions: Mbu
sidhani kama atafanya usajili... iam looking forward kuangalia game yetu ya kwanza itakuwaje...?!

Usajili lazima afanye ila kama kawaida yake anapima maji kwanza, anasubiria kama desturi yake ya kufanya shopingi ya jioni-jioni taimu ya kufungwa soko.

babu asipofanya usajili wa kweli na kuhakikisha majembe muhimu yanabaki msimu huu dhambi za kumtukana wenger katika mechi zetu zitatuhusu sana washabiki wa arsenal...

Yaani tumeshaanza kupeteana Pre season??
Wenger aache ubahili!

ITS OFFICIALLY; Alex oxlade chamberlain ametua rasmi Gunners kwa £15 mil. For the long term contract.. www.arsenal.com/news/news-archive/arsenal-sign-oxlade-chamberlain

Reactions: Mbu
ITS OFFICIALLY; Alex oxlade chamberlain ametua rasmi Gunners kwa £15 mil. For the long term contract.. www.arsenal.com/news/news-archive/arsenal-sign-oxlade-chamberlain

Woah!that is true but the deal is worth £12mil.

Reactions: Mbu

Woah!that is true but the deal is worth £12mil.

sawa sawa ni undisclosed fee, kilichobaki sasa prof atupie beki atleast mmoja kati jagielka, au huyo mjerumani 6'6".

Sky Sports News wana report kuwa Alex Oxlade-Chamberlain anafanya medical Arsenal, deal inasemekana itacost £10million.
Naona wamepata mrithi wa Fabregas ,huenda wiki hii Fabregas akajiunga na Barcelona

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…