Oky
combination ya xhaka na partey ilikuwa superb sana last season leo hii tunaambiwa kuwa wote wako kwenye exit door
Sasa kama club tunakubalije kupoteza best player wetu without significant replacement
leo hii partey ambaye alikuwa key player last season anauzwa kabla hata hatujapata mbadala wake but siamini kabisa kama arsenal hatuimuitaji tena partey.
Ngoja nikwambie kitu hauitaji kuingia kwenye vikao vya board kujua wanawaza nini unaweza ukaangalia matendo yao tu kwenye market ukajua wanawaza nini.
Binafsi nitaumia sana partey kuondoka, sanaa yaaani, na mkija na hoja ya Jogingho kama mbadala nitawashangaa sana.