Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Balogun atapewa nafasi pre season kabla hajauzwa

Intermilan na AC milan wanamtaka

Arsenal wanahitaji £40m kumuachia


Arsenal are set to allow Thomas Partey, Kieran Tierney and one of Eddie Nketiah or Folarin Balogun to leave.

[Independent]
 
Binafsi nilipenda kuwaona Shaka na Partey wakibaki ila Kocha ndio anajua zaidi ngoja tusubir
 
Yani Havertz aje kucheza double 8s halafu Rice lone DM!!!

Arsenal mna utani sana. Arteta anajivisha bomu.
 
Kajamaa tukiwa tunastruggle hakaonekani, kipindi cha usajili au timu ikishinda ndo kanakuja kutusumbua, na uchambuzi, tetesi za uchwara.
Haka kajamaa ni hopeless kabisa. Ukienda against na hoja yake utakasikia "sitakujibu tena"View attachment 2659896
Halafu ukimchallange kidogo poooovu linamtoka, utasikia sikujibu. Kuna kondoo mwingine anaibuka huko na kuja kumpa ushauri "mi huwa nawablock", yaani wanashauriana kila anayempinga apge block. Yaani hawa jamaa wamerogwa.
Mamluki FC when Arsenal perform better,kutwa utamuona na maandiko team ikifeli humuoni humu na uchambuzi wake why team yake imefungwa
Haka kajamaa mtakauwa wallahi
 
Huyo jamaa anafokea kila mtu anajiona yeye ndo mwana arsenal peke yake, anataka aaminiwe hata kama anasrma uongo, na kauli zake za kike eti sa hizi siwajibu watu wa hivi/vile
Kana hasira kweli kweli
Ooh utaratibu umebadilika sasa hivi maongezi kwanza then inatumwa bid hakuna kukataliwa,

Haya juzi rice jana kai
Anafikiri wachezaji wajinga waende Ass'anal bila mpunga wa maana
Mi juzi nilimwambi yule mwamba Arsenal fc tunazingua sana kwenye usajili nikaambiwa na mihemko
Dili la rice linaweza kwenda hata mpaka july.
Hapendi ukweli kabisa
 
Kuondok kwa kai chelsea mnawez furahi kwa upande wenu sabb timu yenu haijawa na flow nzuri ya pass kitu ambacho arsenal tunacho...kwetu arsenal naona kam ni dili poa sana sabb kai ni mnyumbulifu japo ni legelege kwa upande mwingine sio competative ila nafasi za mbele zote anauwezo wa kucheza na kuwa comfortable sajili anazohtaji arteta ni kama pep akitak beki bas awe na sifa kuoperate zaid ya nafasi1..
Hata ukiangalia kumhitaji timber wa ajax ni mchezaji anaewez kucheza mifumo na nafasi tofauti kitu ambacho guardiola amewazid makocha wengi misimu hii kupick wachezaji wa kaliba hiyo.
Hayo ni maoni yangu kuhusu usajili wa Kai kuwa chelsea mfurah kivyenu nasisi tufurahi kivyetu muda utaongea acha boli litembee
 
Hahahahaaa leo huyo dogo mtampamba na kumsifia sana wakati huohuo mlikuwa mnamponda, ila ukwel ni kuwa mmelamba gharasa. Ila mashabk wa asenyeto ndio maana mnapigwa mawe sana maana mna chonga sana hizo domo zenu
Kwahyo unataka tufanikiwe unavyotaka ww??kila timu inasajili kwa taratibu na mbinu zake
 
️ | TRANSFERS: Gundogan deal has no impact on Rice’s move to Arsenal.

: Fabrizio Romano (via @caughtoffside) has claimed that Barcelona signing Man City midfielder Ilkay Gundogan will have no effect on Arsenal’s pursuit of Declan Rice.

@FabrizioRomano: “For now, it’s not looking like this deal majorly changes things regarding Declan Rice – City are informed on Rice’s situation, but Arsenal still remain the favourites and will make a third bid for the West Ham captain, for sure.”

The Gunners are expected to launch an improved bid soon with Rice Mikel Arteta’s main transfer target this summer.
󠁧󠁢󠁥󠁮󠁧󠁿

West Ham want £100m for Rice. Clubs still locked in discussions for 24-year-old.
#AFC #Transfers #WHUFC #MCFC
 
Yani Havertz aje kucheza double 8s halafu Rice lone DM!!!

Arsenal mna utani sana. Arteta anajivisha bomu.
Manjesta ndio hamuwezi hivo, unaitafasiri Arsenal Kama manjesta

Arsenal and Arteta "won over" Havertz with their vision of playing him as a left 8

(The Athletic)
 
hao wawili wanaojielewa ni computerarsenal na Labyrinth 84 wapewe tu maua
yao.
Ila hata HENRY14 hua namuelewa hanaga mihemuko ya kijinga.



#Arsenal Ndoo
#Haaland Kiatu
 
Manjesta ndio hamuwezi hivo, unaitafasiri Arsenal Kama manjesta
Tatizo lenu mashabiki wa Arsenal ndiyo hili. Football inajadiliwa kwa facts. Mpira ni mchezo wa wazi, kila mtu anashuhudia.

Rice hawezi ku-operate kama lone DM, hata pale West Ham anacheza double pivot na Soucek.

Sasa kumuweka Rice lone DM kwenye mid ya Ode na Kai ni risk: hawa wote ni attackers. Kumtumia Rice kama lone DM itakuwa ni matumizi mabaya kwa strengths alizonazo. Kitakachotokea ni Arsenal kuzidiwa kwenye eneo la kiungo.

England pia Rice anacheza double pivot na Phillips.
 
Ila Bayern tunampiga za uso lazima atuchukie, yeye si ana UEFA bhana ila kila akigusa wachezaji wanachomoa route.
 
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City expected to submit an offer to West Ham for Declan Rice today. #MCFC have serious interest in recruiting 24yo England midfielder + it is anticipated a formal bid will be lodged soon to rival Arsenal for signing @TheAthleticFC
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…