Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,640
- 11,129
Nipo! Naona mmeanza kuwa serious kama timu. Ila sasa huu usajili wa Kai siyo unaharibu mipango ya kumleta Rice Emirates?Upo ndugu ,
Maana United nao inasemekana wanataka kutumia mchezaji na pesa kumchukua Rice.
£100m parefu sana.