Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Screenshot_20230622-133058_Twitter.jpg
 
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City expected to submit an offer to West Ham for Declan Rice today. #MCFC have serious interest in recruiting 24yo England midfielder + it is anticipated a formal bid will be lodged soon to rival Arsenal for signing @TheAthleticFC
 
Hawa Mancity hasira zao zote za kumpoteza Gundogan wanazihamishia kwa Rice, nyie Asenyo endeleeni kubargain.
Wakati Arsenyau mkiendelea kulialia subirini Mancity wawaonyeshe jinsi gani ya kutumia pesa.

#Arsenal Ndoo
#Haaland Kiatu
 
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City expected to submit an offer to West Ham for Declan Rice today. #MCFC have serious interest in recruiting 24yo England midfielder + it is anticipated a formal bid will be lodged soon to rival Arsenal for signing @TheAthleticFC
Let's wait and see what will happen next
 
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City expected to submit an offer to West Ham for Declan Rice today. #MCFC have serious interest in recruiting 24yo England midfielder + it is anticipated a formal bid will be lodged soon to rival Arsenal for signing @TheAthleticFC
Kuna muda kama shabiki unapaniki kwamba kwanini arsenal wamechelewa kukamilisha hili dili mpaka city anaingia kwa miguu miwili.
Je hawakuona biashara ya gundogan kwamba itaharibu na kuingilia mtiririko wa dili la rice? Kweli?
Kwamba shabiki unaweza ona intervention ya city ila arteta na bodi nzima hawakuona.? Really?
Kwa akili ya kawaida hii kitu haipo.kwangu mimi inawezekana arsenal walikuwa wanamsubiri city aje kwenye hii dili.wakati hammers wakichelewesha deal kusubiri city aingie ili kuwe na bidding war arsenal nao walikuwa wanamsubiri man city.swali ni how and for what?

Ngoja nikwambie. Sajili tulizofeli ambazo sisi tunaziita zilikuwa ni A-list inawezekana kabisa ndo zilikuwa B-list au zilikuwa ni technical methodology za kupata preferred targets.
Dili la muddrick liliniachia funzo kubwa sana kuhusu namna arsenal anavyosajili. Mind you kwamba inawezekana hata hatujui clear targets za arsenal tofauti na hizi zinazozunguzwa na media.

Welcome mancity kwenye deal la rice kuna kitu tutaona au tutajifunza
 
Hamna kitu arsenali wajinga tu
 
Kama umenifikilisha hivi.
 
Umeandika kitu kinachoeleweka, kuna mashabiki wakianza kuandika utadhani Arteta na Edu ni wapuuzi wa mwisho kwenye football na wao ndio ma tactician bora zaidi. USHABIKI LIALIA UZUZU SIO SIFA.
 
Hapa ndo tutaona kama timu iko serious na Rice.
Mambo ya mchezaji kupenda timu ni uongo, mchezaji anaenda kwenye maslahi mazuri Arsenal wakileta utani hata huyo Timber anaenda kwingine.

Dili la Rice toka miezi miwili iliyopita linaongelea isije ikawa kama Mudryk.
Arsenal wakimkosa Rice siwezi kuwalaumu. Arsenal walikuwa wanatafuta njia ya kufanya biashara nzuri.

Man City tofauti na timu nyingine wao hawapo kwenye squad building kutoa £100m+ hawawazi maana budget yao haina matumizi mengi.
 
Sio delay tatizo ni hiyo pesa ya kumnunua Rice nyie hamna, kiufupi Arsenyani hana tofauti yoyote Dr. Shika wazee wa 900 itapendeza.

#Arsenal Ndoo
#Haaland Kiatu
Unaweza ukanunua kitu cha 1000 kwa 10000???...uhalisia upo kwa Mudryk....hela nyng kanunuliwa lakini so far anaweza asifikie potential ambayo watu wanategemea aifikie....namna Man U anavyo operate kwenye sajili zake ni tofauti na Arsenal...kwhyo relax mkuu Haina haja ya kuponda sana...
 
𝗕𝗥𝗘𝗔𝗞𝗜𝗡𝗚: Manchester City expected to submit an offer to West Ham for Declan Rice today. #MCFC have serious interest in recruiting 24yo England midfielder + it is anticipated a formal bid will be lodged soon to rival Arsenal for signing @TheAthleticFC

City are coming with a more attractive package, agreed price to be paid in two installments,arsenal propose 4
 
Mimi Bado sijaelewa Kwa nini haswa tunawataka Kai na Declan Kwa hizi bei tunazotaka kutoa. Haswa Kwa Kai sijui tumeona nini Cha kutoa 65m. Unachezea 200+ Kwa wachezaji watatu (+ timber), unawatoa Xhaka na Partey Kwa chini ya 60m...naona kama ni kupoteza wachezaji na pesa Kwa pamoja
 
Partey kwa maoni yangu angebaki Arsenal bado alikua na msaada mkubwa sana, viungo wawili kwa wakati mmoja hii ni karata famba sana
 
Back
Top Bottom