Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Maisha

Sio rahisi kama kutaipu hivi,ilihayo yatokee inahitajika arteta awe na wachezaji bora zaidi ya 20 nawawe na utimamu kwa kipindi chote cha pambano ila kwa kina fabio vieira,nelson na emil smith tutaishia kumi na sita 😆😆😆 nastori za kufa kiume zitakuwa nyingi 😡😡😡yuefa asenali hatoboi 16 akizidi sana robo na atatolewa kwa aibu ,endapo wataendelea na viusajili vya kuunga unga tutaona😡😡😡😡.....zije stori fulani asingeumia,wakati sasa ndio wanatakiwa kusajili😆😆😆
Halafu Arteta anamuuza Kieran Tierney.
 
Unadhani timu zinasajiri kwa kukurupuka ? Kama anamuhitaji na yupo kwenye mipango atapeleka ,

Usiseme hajaamua ,means unawashushia heshima kuwa wanasajili ovyo

Ya mudrky yalikuwa yapi

Unatumia Negative opinion kujidifend , Kama Akija utasemaje?

Kama huwez kuwaamin edu na Arteta kwenye usajiri simamia msimamo mmoja

Mbona Madrid kwa Kai kasema hawez kufika £50m ,Bayern kwa Caicedo ,Rice wamewhindwa Bei , nao utasemaje ?

Mancity mwaka Jana kwa Cuculera alishindwa kufika over £40m , ila kwa Arsenal scenario Kama hizi inakuwa nongwa
Uzuri huwa nakupaga NAKED TRUTH unaanza maneno ya shombo but nimekuzoea kijana sisi huwa hata tukifungwa huwa hatupotei kama wewe miezi na miezi endelea na tetesi subiri walio serious waje kusajili good players
 
Kuna kitu inaitwa 3 diamond 3, hii (out of possession) inakuwa na kitu wanaita CCB, johan cruyff alitumia Barcelona, Pep katumia dhidi ya Inter. Link za Rice + uwepo wa Partey au uwepo wa Rodri inaonesha kuwa this set up is future.
Em fafanua zaid kwa undani hiki kitu naona kama umepita juu juu tu bro.

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
 
Uzuri huwa nakupaga NAKED TRUTH unaanza maneno ya shombo but nimekuzoea kijana sisi huwa hata tukifungwa huwa hatupotei kama wewe miezi na miezi endelea na tetesi subiri walio serious waje kusajili good players
Uanshindwa kujibu hoja unalalamika, wewe si ulihama timu ukahamia psg , Sasa kinachokufanya ulalamike Nini,ulitangaza umehama ,Cha ajabu kutwa kulalama , nashangaa kwanza why umeniquote ,maana huwa sikujibu , ulishaona nahangaika na wewe?Mimi najua ulihamia psg.

Sitakujibu tena
 
Eneo la Caicedo ni lipi? eneo la Kai ni lipi? Unaweza kuta hujui hata unachoongea, maana mbongo ni bingwa kukosoa afu hujui hata unakosoa nini
Mimi nilisha opt kutowajibu , mtu anakwambia pesa ya Kai ni sawa na Ya Caicedo,

Mtaanzia wapi kujadiliana,

Halafu utakuta wanalazimisha uwajibu ujinga wao
 
️ | TRANSFERS: Romano confirms Arsenal will bid for Chelsea star.

: Fabrizio Romano has also come out to confirm Arsenal have a bid ready for Chelsea’s Kai Havertz.

Romano: “Official bid to follow for Kai Havertz as personal terms won’t be an issue — the player given his green light to Arsenal yesterday.”

Our understanding is that the bid is £50m + £10m in potential add-ons. Havertz has his heart set on the move now. #AFC #CFC #Transfers #Havertz
 
Mimi nilisha opt kutowajibu , mtu anakwambia pesa ya Kai ni sawa na Ya Caicedo,

Mtaanzia wapi kujadiliana,

Halafu utakuta wanalazimisha uwajibu ujinga wao
Unajikuta bwana Edu mwenyewe. Kula chuma hicho
images (90).jpeg
 
Unajikuta bwana Edu mwenyewe. Kula chuma hichoView attachment 2659802

Jamaa alituambia arsenal imebadili taratibu inafanya mazungumzo na club then wakikubaliana fee wanaweka dau moja tu shuguli inaisha, masaa hata matano hayajapita tukaona arsenal bid imekuwa rejected tunamuuliza braza vipi mbona unatuongopea anakua mkaliii nikajua huyu arsenal ishampa ukichaaa hajawaha mkonge kwenye vipigo!
 
Em fafanua zaid kwa undani hiki kitu naona kama umepita juu juu tu bro.

Sent from my CPH2239 using JamiiForums mobile app
Partey, Rice, Rodri wanaweza kuwa CCB kwenye setup ya 343 diamond, mpinzani akiwa na mpira CM mmoja anacover eneo la pembeni ili eneo la kati CB kuwa compact, Gvardiol & Kovacic kuhusishwa na City inaonesha mpango wa Guardiola ni kucheza hii setup.

Kuna hii video Arteta anajaribu kueleza kitu, he thinks football becomes more specific and the roles of players become more narrow.

Sasa utakuta shabiki analaumu kwanini hivi kwanini vile,
unamuona hasomeki .
 
Uanshindwa kujibu hoja unalalamika, wewe si ulihama timu ukahamia psg , Sasa kinachokufanya ulalamike Nini,ulitangaza umehama ,Cha ajabu kutwa kulalama , nashangaa kwanza why umeniquote ,maana huwa sikujibu , ulishaona nahangaika na wewe?Mimi najua ulihamia psg.

Sitakujibu tena
Wewe ni Arsenal fake fan huwezi kuwa unapotea after bad results mimi nakuona ni mamluki tu in my opinion
 
Wewe ni Arsenal fake fan huwezi kuwa unapotea after bad results mimi nakuona ni mamluki tu in my opinion

Yeah for sure lijamaa lina kelele nyingi timu ikiwa na matokeo tu , timu ikifungwa hulioniii humu halafu linajikuta arsenal fan kwa kusoma soma vihabari vya arsenal news now na kwingine wakati nyinyi mpo in bad and good times !!! Kuanzia game ya Liverpool lilipotea limerudii juzi na habari zake za kizushiiii
 
Mamluki FC when Arsenal perform better,kutwa utamuona na maandiko team ikifeli humuoni humu na uchambuzi wake why team yake imefungwa
 
Yeah for sure lijamaa lina kelele nyingi timu ikiwa na matokeo tu , timu ikifungwa hulioniii humu halafu linajikuta arsenal fan kwa kusoma soma vihabari vya arsenal news now na kwingine wakati nyinyi mpo in bad and good times !!! Kuanzia game ya Liverpool lilipotea limerudii juzi na habari zake za kizushiiii
Halafu ukimchallange kidogo poooovu linamtoka, utasikia sikujibu. Kuna kondoo mwingine anaibuka huko na kuja kumpa ushauri "mi huwa nawablock", yaani wanashauriana kila anayempinga apge block. Yaani hawa jamaa wamerogwa.
 
Jamaa alituambia arsenal imebadili taratibu inafanya mazungumzo na club then wakikubaliana fee wanaweka dau moja tu shuguli inaisha, masaa hata matano hayajapita tukaona arsenal bid imekuwa rejected tunamuuliza braza vipi mbona unatuongopea anakua mkaliii nikajua huyu arsenal ishampa ukichaaa hajawaha mkonge kwenye vipigo!
Haka kajamaa ni hopeless kabisa. Ukienda against na hoja yake utakasikia "sitakujibu tena"
images (91).jpeg
 
Back
Top Bottom