Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji599] BREAKING:

Arsenal and Ajax are negotiating for Jurriën Timber and a deal is expected to be agreed for around €40m-€45m. The player wants to play for Arsenal and the move has been worked on for weeks. Manchester United, no topic in this race.


Reports, @plettigoal.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] hii michezo hata Mudryk aliwafanyia sana lakini hamkomi.
Hatulazimishi wachezaji

Declan Rice only wants Arsenal
Kai Havertz only wants Arsenal
Jurrien Timber only wants Arsenal

Meanwhile Caicedo is talking to Chelsea and I don't know who else.

"I shouldn't have to convince a player to join Arsenal" - Mikel Arteta.
 
Chelsea inawabidi wakimbizane na muda kabla ya tarehe 30 ili wafunge vitabu kuepuka FFP

Moja ya kubalansi vitabu Ni kumuuza Kai ambaye amegoma Kubaki

Ofa ya £60m ipo mezani , Ni wao sasa waseme YES
Mkuu sisi Kai sio lazima auzwe,,

Mpaka sasa hivi tunauhakika wakupata 80-100 kutoka kwa Ziyech,Mendy,Koulibaly,Kovacic

Kai anauzwa sio kwa sababu hiyo, Kai kabakiza 2 year n now sera ni usign mkataba mpya au tukuuze, na ofa wanayoleta Arsenal ni kubwa 65M sio ndogo
 
[emoji599] Arsenal have reached an agreement in principle with Chelsea to sign forward Kai Havertz. Deal for 24yo Germany international is worth around £65m. Personal terms are already in place, attacker’s medical will follow in due course

@TheAthleticFC #AFC #CFC
 
Mkuu sisi Kai sio lazima auzwe,,

Mpaka sasa hivi tunauhakika wakupata 80-100 kutoka kwa Ziyech,Mendy,Koulibaly,Kovacic

Kai anauzwa sio kwa sababu hiyo, Kai kabakiza 2 year n now sera ni usign mkataba mpya au tukuuze, na ofa wanayoleta Arsenal ni kubwa 65M sio ndogo
Deal done

£50m italipwa kwa 3 installments

15 Ni add ons
 
[emoji599] BREAKING: Arsenal are on the verge of agreeing a deal for Ajax’s Jurriën Timber.

Reports, @ChrisWheatley.
IMG_20230621_104300.jpg
 
Deal done

£50m italipwa kwa 3 installments

15 Ni add ons
Kuanzia wiki ijayo,Dirisha mtuachie sisi sasa[emoji16][emoji16]

Sasa hivi
Kovacic[emoji736]
Mendy[emoji736]
Ziyech[emoji736]
Koulibaly[emoji736]
Havert[emoji736]

Mount[emoji353]
Auba[emoji3480]
RlC[emoji353]
CHO[emoji3480]
Lukaku[emoji3480]
 
Kuanzia wiki ijayo,Dirisha mtuachie sisi sasa[emoji16][emoji16]

Sasa hivi
Kovacic[emoji736]
Mendy[emoji736]
Ziyech[emoji736]
Koulibaly[emoji736]
Havert[emoji736]

Mount[emoji353]
Auba[emoji3480]
RlC[emoji353]
CHO[emoji3480]
Lukaku[emoji3480]
Mbona kma Chelsea wanauza sana kweli tuko salama sana kwenye soko kweli? Tunaweza kununua wachezaji wazuri
 
Kuanzia wiki ijayo,Dirisha mtuachie sisi sasa[emoji16][emoji16]

Sasa hivi
Kovacic[emoji736]
Mendy[emoji736]
Ziyech[emoji736]
Koulibaly[emoji736]
Havert[emoji736]

Mount[emoji353]
Auba[emoji3480]
RlC[emoji353]
CHO[emoji3480]
Lukaku[emoji3480]
Chelsea nyie Ni matapeli aisee

Leo mmeuza wachezaji watano siku Moja

Msajili vzr mkizingua itawapa Kaz nyingine tena
 
Kai Havertz for Chelsea in the 2022/23 Premier League:

◉ Most goals
◉ Most shots on target
◉ Most chances created
◉ Most aerial duels won
◉ Most possession won final ⅓
◉ Most final ⅓ passes
◉ Most duels won
◉ Most flick-ons
◉ Most lay-offs

Did it all. [emoji3062]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom