hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,519
Sio bado aisee, Westham wajinga walikuwa wanajua Kutakuwa na biding war ,wamejikuta mchezaji anataka kwenda Arsenal , na Bei wameshusha had £100m ndio maana Arsenal hawana haraka£75m + £15m addons hili dili bado sana West ham wanaipiga chini hii ofa ya pili
Hii kusema city ataingia wanasema Westham wao kutishia nyau
3rd bid ndio ita reach hiyo £100m kumbuka Arsenal hawajajitoa