Flano
JF-Expert Member
- Aug 7, 2019
- 5,875
- 16,442
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] wale Vilaza(Glazer) wanazingua sana na hio mali yao ya urithi.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] karibu flano ,ulipotea kidogo,
Nasikia manjesta mmefungiwa usajili [emoji1787]
Badala wamuuzie mwarabu fasta kina Mbappe waje Trafford wao wanaleta maringo yao ya staki nataka mpaka dirisha la usajili linafungwa.
Ila Asenyo kwenye tetesi tu za usajili mpo vizuri sana aiseeee[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]