Partey kwaheri nasikia anaenda SaudiaTeam ya tetesi. Sisi tunaendelea kuwasogezeaView attachment 2663104
Toka jana Fab alithibitishaPartey kwaheri nasikia anaenda Saudia
Sijui kwanini most fans walishtushwa na habari ya Partey kuuzwa ,Toka jana Fab alithibitisha
Haipo hivo ,Ni vile wewe na Mimi tunazipata habari kwa wakati huu kwa pamoja[emoji419]Rice
[emoji419]Lavia
[emoji419]Harvert
[emoji419]Timber
Hiki kinachofanyika kuzungumza na wachezaji wote hao kwa wakati mmoja naona kama ni kushindwa kudeal na deal moja moja na kulimaliza fasta na kugeukia deal nyingine, izi advance izi bila deal Done ni kupandishana presha mahalamia yakianza kuingilia deals hizi.
Hapo tumelamba dumezitto junior
Ulikuwa unataka RCB,
Arsenal inafanya mazungumzo na Ajax ya kumsajiri Julian Timber , yupo vzr mguuni
£75m + £15m addons hili dili bado sana West ham wanaipiga chini hii ofa ya pili[emoji599]Arsenal have submitted a new bid of £90m in total which has been rejected by West Ham, but the two clubs are getting closer to agreeing on a fee.
Arsenal are confident they’re close with a £100m total package expected next.
West Ham wanted a bidding war but have failed as Declan Rice only wants Arsenal. The club know this which gives them the advantage.
Next bid of £100m should do it. #afc
West ham wanasubiri ofa ya CityOfa ya pili kwa West ham iliyotumwa ni £75m+ £15m Add ons imekataliwa [emoji174]
Tuombeane wadau [emoji16]
Arsenal wanapanda taratibu sababu Mchezaji kawahakikishia haendi popote ,
David Ornstein anasema tumekaribia kiasi ambacho westham watakubali,
Wanachodai £15m ni ons ni ngumu saaana kuzipata kwao West hamn , sijui nini kimewekwa umo ndani[emoji1787][emoji1787]Ofa ya pili kwa West ham iliyotumwa ni £75m+ £15m Add ons imekataliwa [emoji174]
Tuombeane wadau [emoji16]
Arsenal wanapanda taratibu sababu Mchezaji kawahakikishia haendi popote ,
David Ornstein anasema tumekaribia kiasi ambacho westham watakubali,
Nyie hela amna tu subirini sheikh achukue timu tuje tubebe iyo rice mara moja.Ofa ya pili kwa West ham iliyotumwa ni £75m+ £15m Add ons imekataliwa [emoji174]
Tuombeane wadau [emoji16]
Arsenal wanapanda taratibu sababu Mchezaji kawahakikishia haendi popote ,
David Ornstein anasema tumekaribia kiasi ambacho westham watakubali,
Ofa ya pili kwa West ham iliyotumwa ni £75m+ £15m Add ons imekataliwa [emoji174]
Tuombeane wadau [emoji16]
Arsenal wanapanda taratibu sababu Mchezaji kawahakikishia haendi popote ,
David Ornstein anasema tumekaribia kiasi ambacho westham watakubali,
Toka wiki iliyopita wanadai hivo ,acha wasubiri , mchezaji anataka abaki London to jiji la rahaWest ham wanasubiri ofa ya City