Mlitaka kipa tofaut na Ramsdale , Odegaard,white, n.k karibu wote hao sidhan Kama walikuwa first choice kwenye akili zenu but wame prove wrongKwani huyo jorginho ametufanyia nini cha maana pale arsenal so far??
Unaongea as if mpira unaangaliaga peke yako
Hapa tulipo kama timu tunahitaji quality player tu ambao washa prove.
Narudia tena kukwambia kwenye usajili ukikosa first choice player wako una chance 80% ya kuangukia kwenye galasa
Kuna kila dalili za wazi ,Arteta anataka kucheza Diamond kwenye midfield ,ndio maana anamtaka Ricekwa role ya zini.. naona tomiyasu anaweza kuimudu.
role ya saliba.. ben white yupo.
role ya ben white ndio eneo jingine la muhimu pia arsenal kutafuta msaidizi wake.
role ya xhaka.. trossard yupo.
role ya ode.. ESR anaweza kuimudu.
roles za martinelli pamja na saka.. zinapaswa pia kutafutiwa wasaidizi.
role ya jesus nayo.. trossard namuona ila inapaswa lije ingizo jingine la ziada.
Daah rice false 9 SMHKuna kila dalili za wazi ,Arteta anataka kucheza Diamond kwenye midfield ,ndio maana anamtaka Rice
Naelewa hivo maana Rice Ni CB , anataka kumtumia Kama Pep anavyomtumia Stone
Lakini pia Kuna tetes Rice atacheza role ya Xhaka. , Pia Kuna tetes Kai atatumika #8 LHS au false 9
View attachment 2661823
Kuna watu wakiandika humu utadhani Arteta na Edu ni wapuuzi wasiojua chochote kuhusu arsenal na football kwa ujumla. Ujuaji mwingi sana.Hasa hata ukilalamika Utasaidia nini nigga? We kaa na mkeo angalia mpira mambo ya ufundi mwachie Arteta, kwani maoni yako yalisaidia vipi kuirudisha Arsenal UEFA? Acheni kutafuta attention kama mademu, wengi mnaamini kukosoa ndio inafanya muonekana mnajua mpira wakati hopeless, round hii tutawakumbusha comment zenu labda mzifute .
Kwani wanajua nini sasa?wameipa mafanikio gani Arsenal hasa huyo Edu?tangu lini Edu kawahi kugombania players ambao pia big teams wanamtaka na akampata?Kuna watu wakiandika humu utadhani Arteta na Edu ni wapuuzi wasiojua chochote kuhusu arsenal na football kwa ujumla. Ujuaji mwingi sana.
Mjinga huyo, uuze Partey hata kama, ila kuna siku mbaya kazini.Whaaaaaaatttttttttttt Arteta anataka kufanya nini sijui
Nenda sasa kaisaidie wewe. Kelele unazopiga humu zinasaidia nini?1Kwani wanajua nini sasa?wameipa mafanikio gani Arsenal hasa huyo Edu?tangu lini Edu kawahi kugombania players ambao pia big teams wanamtaka na akampata?
Jibu swali njoo na data ,napenda sana data with facts njoo nazo tuanze kuzichambua niambie ni lini Big teams tuliwahi kupambana nazo kuhusiana na good players na tukafanikiwa tukawasign?Acha kupayuka hapa tunazungumzia football [emoji460]️Nenda sasa kaisaidie wewe. Kelele unazopiga humu zinasaidia nini?1
Kashabikie Psg tuachie timu yetuJibu swali njoo na data ,napenda sana data with facts njoo nazo tuanze kuzichambua niambie ni lini Big teams tuliwahi kupambana nazo kuhusiana na good players na tukafanikiwa tukawasign?Acha kupayuka hapa tunazungumzia football [emoji460]️
Una hisa Arsenal?mbona baadhi ya Arsenal fans kama wewe mnakuwa na akili ndogo namna hii?Kashabikie Psg tuachie timu yetu
Wewe si ulisema umehamia Psg?Una hisa Arsenal?mbona baadhi ya Arsenal fans kama wewe mnakuwa na akili ndogo namna hii?
Data za nini?! Wewe na hizo data zako zinaisaidiaje Arsenal? Hizo data zako hakikisha Edu na Arteta wanazipata. Sio kupiga kelele za kuwalaumu humu.Jibu swali njoo na data ,napenda sana data with facts njoo nazo tuanze kuzichambua niambie ni lini Big teams tuliwahi kupambana nazo kuhusiana na good players na tukafanikiwa tukawasign?Acha kupayuka hapa tunazungumzia football [emoji460]️
Sina shida na target, coach ndio anajua anataka nini kwa mchezaji.. shida ni arsenal wakianza maneno, stori nyiingi, baadae mchezaji anachukuliwa na mwingine.Biashara za Usajili sio rahis hivo, dirisha si ndio limefunguliwa hata wiki halina
Tuwe watulivu , Target za Arsenal Ni Rice ,Kai, Lavia. , Na nyingine zinafata
Rice & Kai Ni deals ambazo zipo advanced
[emoji599]| @FabrizioRomano:
“Arsenal, of course, are busy with Declan Rice, he is the top target in midfield, but they could sign one more midfielder. And it's TRUE that Romeo Lavia is one of the players they have in the list.
“They like him and they consider Romeo Lavia a top talent. Man City have a buyback clause, but only in summer 2024, not this summer, and the clause would not be valued in the future, it’s only valued in 2024 for Man City.
“Arsenal are interested. Chelsea are also interested.” [via YouTube] #afc
Arteta angemrudisha jamaa akae hata benchi pale , Elnino Malavila ,Moja ya sajili Bora kabisa ya mzee Wenger
[emoji599] Arsenal have rejected Alexis Sanchez’s request to re-sign him this summer.
[emoji2788] Arsenal manager Mikel Arteta has reportedly given a swift rejection to Alexis Sanchez request to rejoin the club, after being called by the former Gunners star.
[emoji2788] The Spaniard reportedly informed his former team-mate that he did not fit into the club’s plans, with younger players preferred as Arsenal seek to challenge for the title.
(@MailSport)View attachment 2661696
Hawa madalali wameona wamebaki Chelsea pekeao kwenye deal la Caicedo wameamua kumuingia kwenye mjafala wa ArsenalArsenal still consider Caicedo and Gundogan in case Partey leaves
Kizazi cha 2010s cha Arsenal hiki kwa jibu hili nimejua IQ yako ipoje tuendelee na mengineoData za nini?! Wewe na hizo data zako zinaisaidiaje Arsenal? Hizo data zako hakikisha Edu na Arteta wanazipata. Sio kupiga kelele za kuwalaumu humu.
Niambie kuwa PSG na Arsenal ni dhambi?hii team haiendelei reason kubwa nusu ya Arsenal fans wa 2010s na kuendelea hamna hoja za kureason tofauti na sisi wa 90s imagine unaona ni dhambi kuwa fan wa PSG na Arsenal at the same timeWewe si ulisema umehamia Psg?
Bado haujafika tu huko Psg. Kila muda kuitukana na kushambulia uongozi wa Arsenal kwani umelazimishwa kushabikia hii timu?