Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kuna sehemu nimekujibu ,why unawashwa na mimi kila ninachopost?

Kama unatafuta bwana ,Mimi sijihusishi na mambo ya Ushoga

Maana kutwa kunifatilia , na nilipokuona huna akili nikakwambia nitakaa mbali na wewe ,Cha ajabu unanifatilia ,je umesikia natafuta shoga?

Sitakujibu tena ,Kama unataka mtu wakukuna , tafuta mwingine, sikujui na sijawahi kujadiliana na wewe .

Wewe unawajua wangapi humu acha makasiriko mzee , matusi ya nini hili ni jukwaa huru kama haupo tayariii kukosolewa hizi habari uwe unajadili wewe na wanao nyumbani maana hao tu ndo hawaweziii kukukosoa , hakuna sehemu nimekutukana lakini naona matusi kibao wewe si pekee ninaye quote wapo wengi na tunapingana maana mpira bila kubishana si mpira huo . Wewe hasira yako ni kuleta uongo tukisema hicho sicho unawaka unazani sisi ni watoto wako humu ndani ukikosolewa tulia acha hasira mbona wapo wengi tunawakosoa humu ndani na hawana makasiriko au wewe ndo kroenke au edu unataka kujimilikisha team humu na hii special thread!!
Umesema arsenal saivi anaweka mazungumzo kwanza then anatuma ofa moja tu tukatulia tukasema ok!! Dakika 10 mbele tunakuuliza vipi tena utaratibu mpya umekiukwa arsenal katuma offa imekuwa rejected tuelewesheee unaanza kuleta mambo ya ooh ushoga sijuiii nini jikite kwenye mada

Acha makasiriko mimi na quote si kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya wote wanaosoma ukileta info sio tutazikataa ukitaka usipingwe hizi taarifa uwe unapeleka kwa wanao tu au mke wako hao tu ndo hawakupingi ila humu hells no !!!
Endelea kukasirika mpira ni furaha
 
Ana vilaza wake humu ndio anaowataka, wao kila kitu yes.
 
Westham Wanataka £120m, ila wapo tayari kupokea £100m ,Arsenal wameandaa ofa ya £90m +10m add ons

Kinachofanyika Arsenal wamebadili utaratibu wa kumtaka mchezaji, Wanataka maongezi kwanza yawe sawa ,wakubaliane ,ili wakituma ofa ikubaliwe Moja kwa moja ,yasianze mambo yakutuma ofa ya 2,3 n.k

Hadi Sasa Bayern kakimbia

Rice anataka kuja Arsenal walishaongea na Arteta muda mrefu

Vyanzo vyote vya kuaminika vinasema dili litaisha wiki hii kwa Arsenal kuweka Ofa Moja mezani ,maana mazungumzo yameenda vizuri ,na hasa huwa Ni kwenye ulipaji upfront na zile add ons.

Hizi dili za €100m , £100m huwa sio rahisi kihivo , zinachukuaga hata mwaka

Kaangalie dili la Jude Bellingham , Liverpool aliishia njian ,Madrid ikamchukua muda

Kaangalie had manjesta analipa €100m kwa Anthony alivyohenyeshwa

Kaangalie Enzo Fernandez ,ilibidi bodi nzima ya Chelsea ipande ndege kukamilisha dili

Hao mancity unaowasema wanamtaka Kova kutoka Chelsea ,kwa €35m tu lakini Ni wiki 3 Sasa wanaenda mwezi hawajakamilisha

Kifupi TUACHE MIHEMKO
Bro ishu sio mihemuko
transfer plan ya timu yetu inashida tokea kitambo sana
naomba nikurudishe nyuma kidogo
hazard/ mata /mudryk hawa ni wachezaji tuliokuwa tunaongoza race kuwataka jibu unalo walishia timu gani
bruno guimares tulihusishwa sana nae before hajatua newcastle

Caicedo january tumeshindwa kumpata regardless of effort ya player himself afu compare na chelsea walivyo fight kumpata enzo

Sisi hata joao felix tulishindwa mazee

Geuka upande wa pili angalia man city walivyompata halland jack grealish kelvin phillips alvarez
Liverpool walivyompata gakpo nunez na macallister

Its true kabisa hakuna fans ana uhakika na sajili zetu mpaka zikamilike

Tielemas bonge moja la progressive mido unashangaa shangaa kumchukua, kama mtu una jicho la mpira basi utakubaliana na mimi kuwa gundogan is very similar with tielemas
tofauti ni timu tu

Mi ni true arsenal fan ila still kwenye usajili tuna uslow mwingi sana na tuna lack maturity.
 
Mwambie mzee baba ila angalia si muda mrefu ataanza kukukataa , sisi tukiongea anaanza kutoa matusii
Kwenye usajili arsenal ni bingwa wakurahisisha timu kuchukua wachezaji wakali wanawaona wao then timu zingine zinakuja kubeba mnakuja kupata magarasa kina squilaci na asano au kina pepe lakini wachezaji wazuri wote mmewaona nyinyi kina hazard, kante, mata, cr7, mudryk, guimares na wengine kibao . Shida ni nini pale arsenal au ndo kama vile alivyosema tajiri wa Liverpool kipindi kile deal la suarez baada ya kuongeza paundi 1 “ what do you think they are smoking there at Emirates?” Kila mtu anaona arsenal ni kama kituko
 
leo tumejitoa kwenye dili ya caicedo ambaye january tulikuwa tunamtaka kwa udi

Fresh bana timu yetu tushaizoea kikubwa uhai
 
BREAKING: Arsenal preparing £100m bid for Declan Rice after first offer was rejected by West Ham

@SamiMokbel81_DM & @kierangill_DM trib.al/ZsyWrvX
 
leo tumejitoa kwenye dili ya caicedo ambaye january tulikuwa tunamtaka kwa udi

Fresh bana timu yetu tushaizoea kikubwa uhai

na dogo aliforce kabisa kuja arsenal!! Nyie kuweka pesa mezani mkashindwa baadae mtakuja kuwaleta kina nnaweri sijui miaka15 waje wacheze na kina kdb na gundo .
Mudryk kaforce kuja pia holla!!! Havertz nina uhakika atakuja arsenal kwasababu hakuna timu inayemtaka
 
Bro ishu sio mihemuko
transfer plan ya timu yetu inashida tokea kitambo sana
naomba nikurudishe nyuma kidogo
hazard/ mata /mudryk hawa ni wachezaji tuliokuwa tunaongoza race kuwataka jibu unalo walishia timu gani
bruno guimares tulihusishwa sana nae before hajatua newcastle

Caicedo january tumeshindwa kumpata regardless of effort ya player himself afu compare na chelsea walivyo fight kumpata enzo

Sisi hata joao felix tulishindwa mazee

Geuka upande wa pili angalia man city walivyompata halland jack grealish kelvin phillips alvarez
Liverpool walivyompata gakpo nunez na macallister

Its true kabisa hakuna fans ana uhakika na sajili zetu mpaka zikamilike

Tielemas bonge moja la progressive mido unashangaa shangaa kumchukua, kama mtu una jicho la mpira basi utakubaliana na mimi kuwa gundogan is very similar with tielemas
tofauti ni timu tu

Mi ni true arsenal fan ila still kwenye usajili tuna uslow mwingi sana na tuna lack maturity.
Umeongea mambo mengi ambayo huna taarifa sahihi ,na hii ndio sababu mnaleta mihemko mingi Sana

Kuhusu Hazard kafatilie vzr , alisema ule mwaka timu itakayobeba UCL anaenda hiyo hiyo ,akaenda Chelsea

Kuhusu mudrky inajulikana bid iliwekwa had €100m , Politics zikafanyika mule ,leo Kiko wapi?

Kuhusu Caicedo , Brighton walisema NOT FOR SALE hata iwekwe Bei gani ,

Kuhusu Tielemans , Ni mchezaji mzuri but Ni mvivu bila mpira ,ishu zile zile zilizomuondoa Ozil kwa Arteta , Huyo Tielemans anamfikia Ozil hata nusu?

Mbona amekuwa Free hakuna timu kubwa iliyomfata Wala kumuulizia had ameenda Villa?

Hi inaonesha huna taarifa sahihi

Unasema Arsenal kajitoa kwa Caicedo, Awali kabisa

David ornstein na vyanzo vya kuaminika vilisema Tutasajiri kwanza DM na CM ,Beki na ikiwezekana CF

Kila position inakuwa na chaguo la kwanza had 5 , Ni dhahiri kwa upande wa DM Ni Rice au Caicedo ,CM/AM priority imejulikana Ni Kai havertz ,

Tafuta taarifa sahihi kabla hujaanza kulalamika
 
Mtu anakwambia tulimshindwa Caicedo January

Watu kama Hawa ndio wanaleta mihemko humu
 
Kai Havertz is now “very” close to joining Arsenal. Reports, @angelomangiante.
 
The 100m pound bid for Rice is IMMINENT. Arteta believes the player wants Arsenal

(@SamiMokbel81_DM - Tier 1 )
 
Declan Rice wants Arsenal move and is likely to end up there.

Arsenal will make an improved offer for Declan Rice that will come close to matching West Ham’s £100m valuation of the midfielder.

Despite the growing tension between Arsenal and West Ham, the likelihood is that Rice will make the switch. He admires Arteta’s style of football and there will be no issue over personal terms.

Another factor is that Rice, who became a father last year, would prefer to stay in London and be close to his family. He also knows that he would be a regular starter at Arsenal, whereas the competition for places at City would be much fiercer.

Ultimately there is confidence that negotiations will end with Arsenal paying a fee that could top £100m once add-ons are taken into account

(@JacobSteinberg - Tier 1 )
 
Niamini hatusemi hayo kwa sababu tunaichukia club yetu hapana club yetu inatuzingua pa kubwa
Hebu tuulizane Kama real ingekomaa na Kai tungeweza kushinda nayo??
Jiulize kwanini kajitoa Sasa?klabu Zina mipango

Real pesa kubwa anataka kutumia kusajiri CF ,Mbappe au Kane ,hivo hatakuwa na pesa ya kumsajiri Kai

Bayern kakimbia kasema maji marefu

Wewe unailaumu Arsenal tu , unasema tulimshindwa Caicedo, hizo taarifa ulipata wapi

Arsenal had dakika ya mwisho alituma £70m , Brighton wakasema NOT FOR SALE. , Hawakusema Arsenal afike ngapi

Tafuta taarifa sahihi ,zaid utajitafutia mihemko tu
 
Tuliambiwa dili linaisha this week ndo kwanza city katia maguu
Haya city Katia mguu ,katuma ofa kiasi gani?

Sasa mchezaji mzuri unataka ugombee peke yako?

Hadi Sasa Mchezaji anataka Arsenal ,

Taarifa had Sasa ofa imeenda ,(£90m +10adds ons)

Tusubiri majibu Sasa ,tuache mihemko

Tukimkosa wapo wengine ,kwenye list huwa wanakuwepo wengine ,nasikia Kuna Lavia ,Zubimendi,n.k
 
Jiulize kwanini kajitoa Sasa?klabu Zina mipango

Real pesa kubwa anataka kutumia kusajiri CF ,Mbappe au Kane ,hivo hatakuwa na pesa ya kumsajiri Kai

Bayern kakimbia kasema maji marefu

Wewe unailaumu Arsenal tu , unasema tulimshindwa Caicedo, hizo taarifa ulipata wapi

Arsenal had dakika ya mwisho alituma £70m , Brighton wakasema NOT FOR SALE. , Hawakusema Arsenal afike ngapi

Tafuta taarifa sahihi ,zaid utajitafutia mihemko tu
unakumbuka chelsea walivyoambiwa not for sale kwa enzo?? mwisho wa siku walikomaa mpka wakampata so na sisi kama tungekomaa tungempata
Nothing is for sale kwenye football ni mzigo na negotiation skill zako tu

N.B unapokosa top priority yako kuisajili una kuwa kwenye chance kubwa ya kusajili galasa/panic spending
 
Back
Top Bottom