Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Hivi wadau huyu Kai Havertz ana Nini Cha ziada mpaka atakwe na Arsenal, Bayern na Real Madrid?... Mimi Huwa namuona mchezaji wa kawaida tu!.. tena ni mvivu sana huyu jamaa!.. nipo nafikiria kama ataweza kumuweka benchi Emile Smith Rowe akiwa kwenye ubora wake kama msimu wa 2021/2022 alipokuwa mfungaji wa pili Kwa kuwa na magoli mengi nyuma ya Saka!.. au Mimi ndio sijui? Anyway! Kwa kuwa Arteta namuamini sana Arteta, Naamini anajua namna gani atamchezesha Ili kutoa matokeo chanya
 
Suala dogo tunazunguruka zunguruka, kisha unasikia wahuni wameishapita nae.
arsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha

tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
 
arsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha

tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Mim naona hua kuna delay nyingi sana hasa kwenye timu inayouza mchezaji kwa lengo la kusikilizia ofa kutoka kwa timu nyingine, hii kitu pia ua kinawakuta Man U wakitaka mchezaji, japo sio kila timu inafanya ivyo ila ni baadhi ya deal hua naona hii kitu
 
arsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha

tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Westham Wanataka £120m, ila wapo tayari kupokea £100m ,Arsenal wameandaa ofa ya £90m +10m add ons

Kinachofanyika Arsenal wamebadili utaratibu wa kumtaka mchezaji, Wanataka maongezi kwanza yawe sawa ,wakubaliane ,ili wakituma ofa ikubaliwe Moja kwa moja ,yasianze mambo yakutuma ofa ya 2,3 n.k

Hadi Sasa Bayern kakimbia

Rice anataka kuja Arsenal walishaongea na Arteta muda mrefu

Vyanzo vyote vya kuaminika vinasema dili litaisha wiki hii kwa Arsenal kuweka Ofa Moja mezani ,maana mazungumzo yameenda vizuri ,na hasa huwa Ni kwenye ulipaji upfront na zile add ons.

Hizi dili za €100m , £100m huwa sio rahisi kihivo , zinachukuaga hata mwaka

Kaangalie dili la Jude Bellingham , Liverpool aliishia njian ,Madrid ikamchukua muda

Kaangalie had manjesta analipa €100m kwa Anthony alivyohenyeshwa

Kaangalie Enzo Fernandez ,ilibidi bodi nzima ya Chelsea ipande ndege kukamilisha dili

Hao mancity unaowasema wanamtaka Kova kutoka Chelsea ,kwa €35m tu lakini Ni wiki 3 Sasa wanaenda mwezi hawajakamilisha

Kifupi TUACHE MIHEMKO
 
Mim naona hua kuna delay nyingi sana hasa kwenye timu inayouza mchezaji kwa lengo la kusikilizia ofa kutoka kwa timu nyingine, hii kitu pia ua kinawakuta Man U wakitaka mchezaji, japo sio kila timu inafanya ivyo ila ni baadhi ya deal hua naona hii kitu
Dili la Rice nalifatilia kwa ukaribu Sana ,kuanzia vyanzo vya kuaminika vya Westham , vya Arsenal , na vile global Kama Romano, Ornstein ,n.k

Vyanzo vya ujerumani vya kuaminika vimethibitisha kabisa Bayern kajitoa mazima baada ya Rice kusema anataka abaki London

Kilichopo mazungumzo yapo vzr na Ni kuhusu ulipaji ndio inakuwaga issue

Hizi dili za €100m,£100m+ ,Mara nyingi huwa pesa hailipwi yote Kuna upfront inatangulia kwanza ,

Mpaka Sasa klabu zote zilizokuwa zinamtaka Rice zimejiondoa baada ya kuonekana Arsenal alishamalizana nae muda mrefu toka round ya kwanza mechi ya pale Emirates

Pia Jack wilshere aliongea nae Rice
 
Hapo ulipotaja jack wilshere umenitonesha kidonda
 
Sami Mokbel mwandishi wakuaminika

Basi Ni dhahiri tunaweza kumpata Kai, hatupo mbali na valuation ya Chelsea , na wameombwa wapunguze

Arsenal willing to pay 60m including addons for Havertz. Chelsea holding out for 70m. Arsenal willing to pay over 200k a week wages. Havertz keen on the move. Arsenal will go for Havertz once Rice Deal is done

(@SamiMokbel81_DM - Tier 1)
 
Safi hamis unatupa updates jukwaa linachangamka, za ndani kabisa uhakika no kubumbwa.
 
arsenal tumezidi aisee dili la rice linaugumu gani kuisha tujifunze kwa man city akitaka mchezaji ni siku tatu tu biashara imeisha

tusije shangaa dili la rice linafikisha mwezi
Wanazunguka sana mwisho wa siku wanaporwa mchezaji,

Kwa mudryk ilikua hivi hivi chelsea waliingia mara moja tu wakabeba mchezaji
 
Wanazunguka sana mwisho wa siku wanaporwa mchezaji,

Kwa mudryk ilikua hivi hivi chelsea waliingia mara moja tu wakabeba mchezaji
Kwan hujui kilichotokea kwenye ishu ya mudryk?
Ndo maana ukisoma hapo juu kwenye Taarifa za usajili msimu huu ni kua Arsenal wamebadili utaratibu wa kupeleka ofa kwenye timu, ili kuepusha kurud mara 3 hadi 4.
 
Sami Mokbel kawataja Rice na Kai hajamtaja Caicedo

MASWALI Ni haya

Je Arsenal wameachana na Caicedo Kama watamsajiri Kai?

Au Watabebwa wote ?Tusubiri

Ila Kama Tumefika £60m ,na Chelsea wanataka 70/75 ,na wameombwa wapunguze wapo tayari ,Basi huenda dili likawa jepesi

Cc.Refference

Arsenal’s move for Kai Havertz

Chelsea want £70m, Arsenal willing to pay £60m all in

Personal terms won’t be an issue - over £200k a week

Talks underway

Havertz fully open to moving
 
Kwan hujui kilichotokea kwenye ishu ya mudryk?
Ndo maana ukisoma hapo juu kwenye Taarifa za usajili msimu huu ni kua Arsenal wamebadili utaratibu wa kupeleka ofa kwenye timu, ili kuepusha kurud mara 3 hadi 4.
Mkuu Hawa watu muwe mnaangalia nankuwajibu ,Nani asiyejua ishu ya mudrky Ni siasa mule ziliingia,Tena Arsenal waliofa kile kile walichoofa Chelsea ,(€100m) na mshahara ulipishana 10k tu,

Mimi ndio maana Kuna watu siwajibu wapo kuponda na kukebehi tu

Angalia deal la Kai , Chelsea walikuwa wanataka 70, Mazungumzo yamefanyika kimya kimya, Arsenal wamefika £60m, Chelsea wameombwa washushe Bei,

Means ikitumwa ofa Moja ,Ni Deal done

Same situation kwa Rice

Na deals zote hizo Madrid ,Bayern kwa Kai wamejitoa

Kwa Rice ,Bayern kajitoa , manjesta wametangaza hawana pesa ,
 
Fabrizio Romano huko Yutube anaongea

Arsenal will never pay 70/75m for Havertz. Sources close to deal believe Chelsea could be flexible and player can be signed for less than that. Player is keen on move. Arteta really appreciates the player. Chelsea prefer to sell now as he won't extend contract

(@FabrizioRomano on YouTube)
 
Sami Mokbel kasema nilichosema Awali, hizi dili za £100m+ huwa hazilipwi kwa mkupuo

Westham Wanataka ilipwe kwa mikupuo miwili kabla ya 2025 ,

The Gunners are focusing on completing their move for West Ham skipper Declan Rice, which could cost in-excess of £100million, before trying to close a deal for Havertz.

The Hammers ideally want the money for Rice paid in two instalments before 2025 - a scenario which would put a major dent in Arsenal’s spending capacity this summer. The amount they pay for Rice will impact how much they pay for Havertz. They also want a central defender.

(@SamiMokbel81_DM)
 
Ukweli mchungu

Arteta anamuamini Sana Jorginho kuliko Partey

Yupo tayari kumpiga Bei Partey dirisha hili akimpata Caicedo lakini sio Jorginho
IMG_20230614_213440.jpg
 
Kumbe Top priority Ni Rice na Kai havertz ,sio Rice na Caicedo

Havertz and Rice are Arsenal’s priority targets. They are going to go hard on Havertz, £60m could be the price to make all parties happy.

(@FabrizioRomano)
 
Ratiba inatoka asubuhi

Za ndani zinasema

Mechi za kwanza za Premier League

︎Chelsea vs Manchester City
︎Man United vs Luton Town
︎Brighton vs Arsenal
︎Burnley vs Liverpool
 
Back
Top Bottom