Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Harvetz hakuna kitu pale
Hata Mimi simuelewi ila makocha wanamkubali... Yaani arsenal wanamtaka, Bayern wanamtaka, real Madrid wanamtaka, pia makocha wote waliopita pale Chelsea Havertz alikuwa chaguo lao la kwanza.. Sasa najiuliza, hivi Kuna Nini Cha ziada ambacho makocha wanakiona ila sisi Mashabiki hatukioni!.. Ila Kwa pesa Chelsea wanayoitaja watakuwa wametupiga sana!.. huyu ni wa £50 Hadi £55 sio £70 wanazotaka Chelsea
 
Tuwe na akiba ya maneno ,unakumbuka Odegaard alivyotukanwa ? Nan anahoji uwezo wake Sasa hivi?

Odegaard alikuja kwa mkopo ,alifunga Goli 1 tu , most hamkutaka hata asajiriwe Jumla ,

Madrid wakatuuzia kwa £30m tu , leo bila £100m humpati Odegaard aliyesemwa hakuna kitu, laini ,hawez ligi ya EPL
Unachosema sahihi japo haiwezi kuwa asilimia zote. Kwangu pia huenda nisiwe sahihi kwakuwa anaweza kuniprove wrong. Usajili ni kama betting ila daah, simuelewi kabisa huyo jamaa. Tungoje kuona mkuu
 
Hata Mimi simuelewi ila makocha wanamkubali... Yaani arsenal wanamtaka, Bayern wanamtaka, real Madrid wanamtaka, pia makocha wote waliopita pale Chelsea Havertz alikuwa chaguo lao la kwanza.. Sasa najiuliza, hivi Kuna Nini Cha ziada ambacho makocha wanakiona ila sisi Mashabiki hatukioni!.. Ila Kwa pesa Chelsea wanayoitaja watakuwa wametupiga sana!.. huyu ni wa £50 Hadi £55 sio £70 wanazotaka Chelsea
Huyo wamwachie kwa laki tatu tu🤣🤣
 
Mnadhani tumeona nini Kwa Kai Havertz ambacho Chelsea wameshindwa kutumia mpaka wanuuze? Na je Kwa Nini anaonekana kuwa wa bei hiyo? Ataimudu nafasi ya Xhaka au?
 
Mnadhani tumeona nini Kwa Kai Havertz ambacho Chelsea wameshindwa kutumia mpaka wanuuze? Na je Kwa Nini anaonekana kuwa wa bei hiyo? Ataimudu nafasi ya Xhaka au?
Kwani kila atakaesajiliwa ni kwa ajili ya kuziba nafasi ya Xhaka?
 
Arsenal have significantly advanced on Declan Rice’s personal terms in the last few days — that’s why Arsenal will bid again to find a solution with West Ham. #AFC

£80m was never gonna be enough to convince West Ham, as they hope for more than £100m to sell Rice.

… Edu wa watu wake wana dharau sana yani Rice £80m bora City kahusika hapa wampige presha kabisa aache utani aisee.
 
Harvetz hakuna kitu pale
Sina tatizo na kai ila personally simuelewi.,
Nimegundua analysis yetu mashabiki iko kwenye technical point of view,ila makocha na scouting team wanaangalia tactical na technical qualities hasa kwa kuzingatia philosophy ya team.

Kai? Mmh anajua ateta.ila kwa sasa mchezaji hata kama ni mzuri kiasi gani ila kama workrate yake ni ya kawaida usitarajie kumuona Emirates
 
Hizi kondoo ukizisikia zivyosifia sajili zao, utafikiri mnanunua wachezaji kutoka sayar nyingine, kumbe mnaenda kupgwa kwa Havertz, mchezaji ambaye mpk Bayern na Mardird zimejitoa ndio ujue ni kiasi gani ni mchezaji wa hovyo.

UBwabwa pia mnapgwa
20230424_180858.jpg
 
Westham Wanataka £120m, ila wapo tayari kupokea £100m ,Arsenal wameandaa ofa ya £90m +10m add ons

Kinachofanyika Arsenal wamebadili utaratibu wa kumtaka mchezaji, Wanataka maongezi kwanza yawe sawa ,wakubaliane ,ili wakituma ofa ikubaliwe Moja kwa moja ,yasianze mambo yakutuma ofa ya 2,3 n.k

Hadi Sasa Bayern kakimbia

Rice anataka kuja Arsenal walishaongea na Arteta muda mrefu

Vyanzo vyote vya kuaminika vinasema dili litaisha wiki hii kwa Arsenal kuweka Ofa Moja mezani ,maana mazungumzo yameenda vizuri ,na hasa huwa Ni kwenye ulipaji upfront na zile add ons.

Hizi dili za €100m , £100m huwa sio rahisi kihivo , zinachukuaga hata mwaka

Kaangalie dili la Jude Bellingham , Liverpool aliishia njian ,Madrid ikamchukua muda

Kaangalie had manjesta analipa €100m kwa Anthony alivyohenyeshwa

Kaangalie Enzo Fernandez ,ilibidi bodi nzima ya Chelsea ipande ndege kukamilisha dili

Hao mancity unaowasema wanamtaka Kova kutoka Chelsea ,kwa €35m tu lakini Ni wiki 3 Sasa wanaenda mwezi hawajakamilisha

Kifupi TUACHE MIHEMKO

Utaratibu umebadilika sio kwamba arsenal wanakaa mezani wanakubaliana then wanatuma ofa moja. Tayarii wametuma hio moja imekataliwa hizi za utaratibu kubadilika umeutoa wapi mbona tayari wametuma na imekataliwa endelea kuwapa false hope vijana
 
Huyo jamaa huwa anawajaza ujinga na huwa hata hawashtuki, kama makondoo vile.
Nahisi huko aliko huwa kuna mda akikaa anaanza kuwacheka mazuzu wake.
 
Huyo jamaa huwa anawajaza ujinga na huwa hata hawashtuki, kama makondoo vile.
Nahisi huko aliko huwa kuna mda akikaa anaanza kuwacheka mazuzu wake.

we acha tu
IMG_1419.jpg

Mashabiki wa arsenal ni vituko na si mashabiki hata wapeleka offer huku ndani ya club
Unakumbuka ile ya wenger kumtaka suarez waliongeza paundi moja
 
BREAKING NEWS
Arsenal have withdrawn their interest in Brighton star, Moises Caicedo
 
Utaratibu umebadilika sio kwamba arsenal wanakaa mezani wanakubaliana then wanatuma ofa moja. Tayarii wametuma hio moja imekataliwa hizi za utaratibu kubadilika umeutoa wapi mbona tayari wametuma na imekataliwa endelea kuwapa false hope vijana
Wewe jamaa unawashwa Sana ,maana nilikukataa bado husikii , mbona mm nilikwambia sikusikilizi, au unatafuta bwana humu? Sikujui ,ila kutwa kunifatilia

Yaani kuripot habari za Arsenal humu unaumia ,shida Nini? Au kwenye majukwaa yenu hamna wakujadili nao ,unakuja kutafuta engagement humu?

Move on Basi
 
Hizi kondoo ukizisikia zivyosifia sajili zao, utafikiri mnanunua wachezaji kutoka sayar nyingine, kumbe mnaenda kupgwa kwa Havertz, mchezaji ambaye mpk Bayern na Mardird zimejitoa ndio ujue ni kiasi gani ni mchezaji wa hovyo.

UBwabwa pia mnapgwa
View attachment 2658557
Unayeongea Sasa Ni mshabiki wa timu ambayo imemaliza nafasi ya 12 na haujui msimu ujao mtagombea kushuka daraja au Kubaki

Watu Kama nyie sio wakuwajibu mpo kusaka engagement
 
Kai Havertz has ACCEPTED Arsenal’s contract proposal, now down to clubs to agree the fee.

(@FabrizioRomano) #CFC
 
Fabrizio Romano

Understand Kai Havertz has given green light to Arsenal contract bid after positive indications #AFC

No problem on personal terms.

Arsenal & Chelsea in contact — no chance for £75m but Chelsea will be flexible.

Bayern, informed… but still quiet.

Real 100% out of the race.
 
Wewe jamaa unawashwa Sana ,maana nilikukataa bado husikii , mbona mm nilikwambia sikusikilizi, au unatafuta bwana humu? Sikujui ,ila kutwa kunifatilia

Yaani kuripot habari za Arsenal humu unaumia ,shida Nini? Au kwenye majukwaa yenu hamna wakujadili nao ,unakuja kutafuta engagement humu?

Move on Basi

Jamaa mbona makasiriko sana !!!! Kwani mimi ndo nimefanya arsenal akose ubingwa!! Ukidanganya tupo tayariii kukataa na kusema huu ni uongo huu ni ukweli wala si kwamba nakufuatilia, wewe kama hunisikilizi sawa. Matusi ya nini tena brother, wewe kwenye thread za man city, man utd , chelsea au Liverpool huchangiangi kwa kuponda ama!! Acha makasiriko wewe !
Tatizo unatudanganya tukikuambia unakuwa mkali kwani si maneno yako hayo ulisema arsenal anapeleka bid moja tu utaratibu umebadilika !!
Hili sio jukwaa lako pekee ako mzee kila moja ana haki ya kuchangia
 
Kuna sehemu nimekujibu ,why unawashwa na mimi kila ninachopost?

Kama unatafuta bwana ,Mimi sijihusishi na mambo ya Ushoga

Maana kutwa kunifatilia , na nilipokuona huna akili nikakwambia nitakaa mbali na wewe ,Cha ajabu unanifatilia ,je umesikia natafuta shoga?

Sitakujibu tena ,Kama unataka mtu wakukuna , tafuta mwingine, sikujui na sijawahi kujadiliana na wewe .
 
Back
Top Bottom