hamis77
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 18,661
- 27,520
Sio kweli ndio maana nasema tafuta taarifa sahihi ,Chelsea hawakuambiwa NOT FOR SALE ,waliambiwa wa trigger Release clause ya €127m na sio kitu kingineunakumbuka chelsea walivyoambiwa not for sale kwa enzo?? mwisho wa siku walikomaa mpka wakampata so na sisi kama tungekomaa tungempata
Nothing is for sale kwenye football ni mzigo na negotiation skill zako tu
N.B unapokosa top priority yako kuisajili una kuwa kwenye chance kubwa ya kusajili galasa/panic spending
Mchezaji mwenye Release clause anauzwa muda wowote ,maana Ni kutrigger tu
Spain na Ureno kila mchezaji ana Release clause ,hakuna Cha NOT FOR SALE