Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Unayeongea Sasa Ni mshabiki wa timu ambayo imemaliza nafasi ya 12 na haujui msimu ujao mtagombea kushuka daraja au Kubaki

Watu Kama nyie sio wakuwajibu mpo kusaka engagement
Nafas ya 12 na nyie nafasi y pili tuna tofauti gani? kwanza Ars88 ndio mlikua na msimu mmbovu kushinda chelsea. ila hata hamjui! Jins mlivyo makondoo mtabisha.
Mwakani tuna mashindano machache mnaweza mkashuka nyie vilaza, mashindano mengi uwezo mdogo.
 
Nafas ya 12 na nyie nafasi y pili tuna tofauti gani? kwanza Ars88 ndio mlikua na msimu mmbovu kushinda chelsea. ila hata hamjui! Jins mlivyo makondoo mtabisha.
Mwakani tuna mashindano machache mnaweza mkashuka nyie vilaza, mashindano mengi uwezo mdogo.
Wewe akili zako fupi ,sitakujibu tena ,maana hata wenzako kule jukwaani kwenu wanakuonaga chizi ,

Sitakujibu endelea kujiongelesha hapa
 
Man City being involved in the race for Rice confirms they see Arsenal as direct competition.

Not signing Rice scuppers Arsenals initial transfer plans [emoji777]
 
B war waliyokua wanaitaka Brighton wanaikosa sasa nahis chelsea kwa sasa ndo wamebaki kwenye mbio za Caicedo
Kama Anasajiriwa Kai na Rice ,Basi automatically dili la Caicedo hatutahusika ,labda Kiungo mmoja auzwe

But had Sasa naona dili hizi mbili Kai & Rice ndio zinaenda kufanikiwa

£80m+10m add ons (£90m ) ilikuwa yakuanzia mazungumzo


Bid ya 2 Kama itakuwa Rejected Basi waachane nae , means Westham anataka B war

Regards Rice ameweka waz anataka kwenda Arsenal ,but mambo yanabadilika
 
Kwa hii ratiba yetu nawaona kabisa arsenyani mkipanga mstari na kutupigia makofi mabingwa wa msimu wa 2023/2024[emoji16][emoji16]
1686827757151.jpg
 
Brighton wamepandisha Bei ya Caicedo had £120m


[emoji599] Tony Bloom values Moisés Caicedo as high as £120m. Chelsea are in pole position. Reports,

@Matt_Law_DT.
 
Wewe akili zako fupi ,sitakujibu tena ,maana hata wenzako kule jukwaani kwenu wanakuonaga chizi ,

Sitakujibu endelea kujiongelesha hapa
MBona nyie mashabiki wa arse888 ndio tunawaona mna akili fupi?! Mana hamuwez mkawa timamu, kila mwaka ikifika usajili mnapamba sajili zenu mwisho wa msimu mnatoka hola, halaf msimu unaofuata tena hivyo hivyo hola, na mwingine na mwingine hola. then hamjifunzi.

Halafu wewe ndio bingwa wa kuwadanganya kondoo wenzio. mwisho unawakimbia. Unarudi unawadanganya tena wanadanganyika tena, aisee mashabiki wa Arse88 mkapimwe akili.
 
Fabrizio Romano

[emoji599] Understand Kai Havertz has given green light to Arsenal contract bid after positive indications #AFC

No problem on personal terms.

Arsenal & Chelsea in contact — no chance for £75m but Chelsea will be flexible.

Bayern, informed… but still quiet.

Real 100% out of the race.
Tupen 75 hiyo kwa Kai, msilete ubahili wenu, japo sipendi tuwauzie huyu jamaa, tutakuwa tumefanya makosa yale yale.

Kai kwa uchezaj wenu naona kabisa akingara.
 
Tupen 75 hiyo kwa Kai, msilete ubahili wenu, japo sipendi tuwauzie huyu jamaa, tutakuwa tumefanya makosa yale yale.

Kai kwa uchezaj wenu naona kabisa akingara.
Ningependa sana Kai asajiliwe Arse88 ili nikuprove wrong, kwamba Kai ni mchezaji wa hovyo. Wanaenda kupgwa. EPL imeshamshinda mchezaji mlenda sana. Najua Lile goli la UEFA ndilo linalokuvuruga.
 
Kuna sehemu nimekujibu ,why unawashwa na mimi kila ninachopost?

Kama unatafuta bwana ,Mimi sijihusishi na mambo ya Ushoga

Maana kutwa kunifatilia , na nilipokuona huna akili nikakwambia nitakaa mbali na wewe ,Cha ajabu unanifatilia ,je umesikia natafuta shoga?

Sitakujibu tena ,Kama unataka mtu wakukuna , tafuta mwingine, sikujui na sijawahi kujadiliana na wewe .

Wewe unawajua wangapi humu acha makasiriko mzee , matusi ya nini hili ni jukwaa huru kama haupo tayariii kukosolewa hizi habari uwe unajadili wewe na wanao nyumbani maana hao tu ndo hawaweziii kukukosoa , hakuna sehemu nimekutukana lakini naona matusi kibao wewe si pekee ninaye quote wapo wengi na tunapingana maana mpira bila kubishana si mpira huo . Wewe hasira yako ni kuleta uongo tukisema hicho sicho unawaka unazani sisi ni watoto wako humu ndani ukikosolewa tulia acha hasira mbona wapo wengi tunawakosoa humu ndani na hawana makasiriko au wewe ndo kroenke au edu unataka kujimilikisha team humu na hii special thread!!
Umesema arsenal saivi anaweka mazungumzo kwanza then anatuma ofa moja tu tukatulia tukasema ok!! Dakika 10 mbele tunakuuliza vipi tena utaratibu mpya umekiukwa arsenal katuma offa imekuwa rejected tuelewesheee[emoji23][emoji23][emoji23] unaanza kuleta mambo ya ooh ushoga sijuiii nini jikite kwenye mada [emoji23]

Acha makasiriko mimi na quote si kwa ajili yako ila ni kwa ajili ya wote wanaosoma ukileta info sio tutazikataa ukitaka usipingwe hizi taarifa uwe unapeleka kwa wanao tu au mke wako hao tu ndo hawakupingi ila humu hells no !!!
Endelea kukasirika mpira ni furaha
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom