Dili la Rice nalifatilia kwa ukaribu Sana ,kuanzia vyanzo vya kuaminika vya Westham , vya Arsenal , na vile global Kama Romano, Ornstein ,n.k
Vyanzo vya ujerumani vya kuaminika vimethibitisha kabisa Bayern kajitoa mazima baada ya Rice kusema anataka abaki London
Kilichopo mazungumzo yapo vzr na Ni kuhusu ulipaji ndio inakuwaga issue
Hizi dili za €100m,£100m+ ,Mara nyingi huwa pesa hailipwi yote Kuna upfront inatangulia kwanza ,
Mpaka Sasa klabu zote zilizokuwa zinamtaka Rice zimejiondoa baada ya kuonekana Arsenal alishamalizana nae muda mrefu toka round ya kwanza mechi ya pale Emirates
Pia Jack wilshere aliongea nae Rice