TAITO KUNITENDAArsenal official bid for Declan Rice will be submitted after the Europa League final. Plan very clear.️
#AFC
Hapa Rice hapa Progressive no.8 hapa Inverted RB (probably Caicedo)
Alloh points 100 uhakika msimu ujao









hamisa77Tuna mechi ya kirafiki na Manjesta mwez wa 7 hapo katikati
Inatakiwa tumkande nyingi![]()
Tunakumbushana msimu mzima Manjesta fans walimshangilia City kwenye Ligi lakini mwisho wa story ni City kumfunga Manchester United kwenye fainali ya FA na kuvunja rekodi ya Sir Alex Ferguson Kwa kuchukua UEFA champions league against Inter Milan Mark thishamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77
hamisa77

Tunakumbushana msimu mzima Manjesta fans walimshangilia City kwenye Ligi lakini mwisho wa story ni City kumfunga Manchester United kwenye fainali ya FA na kuvunja rekodi ya Sir Alex Ferguson Kwa kuchukua UEFA champions league against Inter Milan Mark this![]()
Brother Labyrinth 84 usimshangae sana hamis77 hio ndio mentality ya mashabiki karibia wote wa Arsenyo duniani.Bro una trauma na man utd!!!?? Man utd was best miaka 8 or 10 iliyopita and not now?? Man utd kuitesa arsenal ndo kukupe trauma!!! Man utd si tishio tena focus na timu yako kumfunga man utd haina faida yoyote for now.. usijifiche kwenye kichaka cha man utd baada ya kuaminisha bottlers wenzako for so long kuwa mnabeba epl!!
Shabiki la Nyumbu linapogundua Guardiola anavunja rekodi ya Ferguson wakati limetumia msimu mzima kushangilia Man City.Tunakumbushana msimu mzima Manjesta fans walimshangilia City kwenye Ligi lakini mwisho wa story ni City kumfunga Manchester United kwenye fainali ya FA na kuvunja rekodi ya Sir Alex Ferguson Kwa kuchukua UEFA champions league against Inter Milan Mark this![]()
Kule mnaenda kuzurura tu na kutolewa mapemaView attachment 2645719
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye tunaenda kushiriki tena Uefa Champions League
Wale wenzetu waliokuwa wanasema Arsenal hata Top 4 tusingeingia wanaona Aibu hata kuComment
Tukutane kwa Mabingwa![]()
Hata EPL mlisema hatutatoboa Top 4, leo hii mko wapi 😜Kule mnaenda kuzurura tu na kutolewa mapema
Kuna timu gani ya kutisha kule, ??Kule mnaenda kuzurura tu na kutolewa mapema
Hawa jamaa wamezidi dharau dhidi yetu, ngoja Msimu ujao tuwaonesheKuna timu gani ya kutisha kule, ??
Tukifanya maboresho machache kwenye Kikosi chetu tutafanya vizuri msimu ujao.Wakuu nimetoka kucheki tactical analysis ya kwanini Arteta anamtaka Declan Rice, dah! Bora aje tu.
Anajua kukaa na mpira, anajua jinsi ya kuiba mipira wakati wa pressing, anajua jinsi ya kuzuia movement za third man runner, anajua jinsi ya kujiposition ili mpinzani aonekane, ikipigwa pasi fasta ashaiwahi, ana consistency karibu kila mechi hata kama timu nzima ikicheza ovyo, yeye ndiye atakayetoka uwanjani kichwa juu, etc.
Tukimpata huyu na Caecedo tutatisha sana
View attachment 2645719
Baada ya kusubiri kwa muda mrefu, hatimaye tunaenda kushiriki tena Uefa Champions League
Wale wenzetu waliokuwa wanasema Arsenal hata Top 4 tusingeingia wanaona Aibu hata kuComment
Tukutane kwa Mabingwa![]()
Mnadhani wakati ule mnasema tunashiriki Futuhi(Mkiwa na maana ya Europa league) mnadhani hatukuwa tuna umia.Matarajio yako huku mnafika wapi?? Unachofurahi wewe ni kushiriki uefa utafikiri wewe ndo kroenke! Maana yeye ndo anafaida kuingia uefa , faida ya wachezaji na mashabiki ni kuchukua ubingwa!!
Wakuu nimetoka kucheki tactical analysis ya kwanini Arteta anamtaka Declan Rice, dah! Bora aje tu.
Anajua kukaa na mpira, anajua jinsi ya kuiba mipira wakati wa pressing, anajua jinsi ya kuzuia movement za third man runner, anajua jinsi ya kujiposition ili mpinzani aonekane, ikipigwa pasi fasta ashaiwahi, ana consistency karibu kila mechi hata kama timu nzima ikicheza ovyo, yeye ndiye atakayetoka uwanjani kichwa juu, etc.
Tukimpata huyu na Caecedo tutatisha sana


Aliyetukosesha ubingwa ni majeruhi ya Saliba na Tomiyasu.. Toka alivyoumia Saliba timu iliyumba ikawa haiwezi tena kuanzisha mashambulizi toka nyuma!.. yaani tukawa hovyo kabisa huko nyuma.. kibaya zaidi athari zikaenda Hadi Kwa midfield yetu kutokuwa na consistency na partey akaanza kupuyanga baadhi ya mechi... Kitendo Cha Holding kucheza badala ya Saliba ilikuwa disaster maana jamaa alikuwa kutuchoma.. Angekuwepo Tomiyasu angeanza beki ya kulia na ben white angerudi kucheza nafasi ya Saliba. Kiukweli mechi tulizoshinda Saliba akiwa hayupo ni chache sana (nyingi tulipigwa).... Anyway!... Tufurahie hata hapo tulipofika Sasa, timu imejitahidi sana msimu huu!Tusubiri tuone !, ila si amini kama arsenal imekosa ubingwa kisa haina mchezaji kariba ya rice! Je arsenal ina true central striker? Au ndo jesus chance 7 kafunga moja na sub yake Nketiah!!![]()
Hivi unaelewa hata maana ya squad depth?Tusubiri tuone !, ila si amini kama arsenal imekosa ubingwa kisa haina mchezaji kariba ya rice! Je arsenal ina true central striker? Au ndo jesus chance 7 kafunga moja na sub yake Nketiah!!![]()