Kuna muda inabidi kukubaliana kutokukubaliana.Naheshimu mawazo yako with due respect.Ila niwe mkweli nna mashaka na ushabiki wako kwa arsenal.
Mkuu jaribu kufanya utafiti mdogo juu ya neno ushabiki halafu jilinganishe na wewe kisha rudi hapa ututazame usoni kama kweli una sifa za kuitwa shabiki.
Sina tatizo na critics zako, ila huonyeshi njia.
Sijawahi kuona tactical analysis zako kuhusu team kwa ujumla
Sijawahi kuona technical analysis zako kuhusu wachezaji wetu
Sijawahi kuona breakthrough proposal yako namna tunavyoweza toka hapa.
Unajua kulalamika tu.only that
Mwisho nikufungue macho.ushabiki ni imani,ni ufuasi,ni kujitoa
Kwako
Labyrinth 84