Msimu wa EPL ndiyo unatamatika leo, Bingwa amekuwa Manchester City akituzidi Arsenal zaidi ya alama 8.
Umekuwa ni msimu Mzuri kwa timu ukilinganisha na misimu kadhaa iliyopita.
Benchi la Ufundi limeona mapungufu, nadhani yatafanyiwa kazi. Huenda tukawa na sajiri nzuri Mwaka huu kuelekea mwenye mashindano ya Uefa Champions league na mashindano mengine tutakayo shiriki, hivyo depth ya kukosi nadhani benchi la ufundi na Wamiliki watakuwa wamelipa uzito.
Najua tumeumia na kufurahi pamoja, muhimu tunakwenda kushiriki Uefa baada ya kuikosa miaka 7 kama sio 8 iliyopita.
Nilikuwa natazama wapi tulipotoka kwa misimu ya 2019/20, 2020/21, 2021/22 na msimu wa mwaka huu kabla ya mechi za jioni.
View attachment 2636790
View attachment 2636791
View attachment 2636792
View attachment 2636794
Kama utakuwa ni mtu wa takwimu, utakubaliana nami kuwa timu imeimarika kulingana na miaka kadhaa nyuma ingawa bado kuna kazi ya kufanya.
Tukutane msimu ujao Mungu akitupa Uhai.
Once a Gunner will always be [emoji123]