Nimeangalia game nikawa nayakumbuka maneno yako kabisa.Niliwaambia hawa forwards wa cheltako finishing ni mziki ila wakipata ST tujipange
Kiukwl swala ilo hata mm limeniumiz sana siamin kwmb Hawa Gunners wanaweza kujificha namna iyo hata kuleta uzi wao mzr wa kimataifa wameshindwa.Yani kweli arsenyani mmepoteana yani uzi wenu mpya umetoka lakini hata kuja kupost hapa hamuwezi![]()
Kitu kimoja watu wanachokosea ni kutojua Arsenal tulianza msimu huku 1st objective ni kua ndani ya top 4.
Angalia transfers tulizofanya.
Timu ambayo ilikosa top four msimu uliopita kisa MId msimu uliofuata alienda na Mid gani?
Wew timu yako ilikua wapi kuka iyo position,, si ndio nyie mlitutabilia hat hiyo top four hatutoigusa,Hatupingi top 4 ilikua first objective, japo hata huko uefa mnaenda kushiriki hamna malengo yoyote.
Kama arsenal angekuwa postion ya 2 for a long time or wangekuwa wanapokezana na man city kukaa juu baadhi ya week tungesema “ yeah” ni mwaka mzuri kwa arsenal ila kukaa siku 248 on top na still ukawa umemzidi mpinzan wako 8 points na game zimebaki 9 unacheza game sunday to sunday bado unachoma kwa timu ambazo zimecheza midweek zaidi ya mara moja!! Westham & soton!! trust me itachukua miaka mingine 20 to be in that position again!!! Na kukaa huko siku 248 kumethibitisha Arsenal ni loser always and forever !!
Wew timu yako ilikua wapi kuka iyo position,, si ndio nyie mlitutabilia hat hiyo top four hatutoigusa,
Acheni vihele hele mkae kwa kutulia,
Njoo tena msimu ujao ukiwa na akili Kama hizi tena Kama wenzako.


. Baada ya haya yote kuna mtu anaamini arsenal itachukua epl kweliii . Mashabiki wa arsenal ni vichaa kwelii, huko uefa mnashiriki au unaamini mtabeba uefa au malengo ni kufika robo fainali maana mara ya mwisho kufika robo fainali ilikua 2008


Kwahio umetimukiaa wapi mkuu??Timu yangu kwa wakati huo ndo ilikua top of the table kwa hizo siku248 after that nikaona kabisa” hapana” hamna timu hapa kuna vichekesho, for 20 years nilikua kichekesho nikasanuka nikakimbiaaa!! Tupe matarajio ya arsenal msimu ujao. Baada ya haya yote kuna mtu anaamini arsenal itachukua epl kweliii . Mashabiki wa arsenal ni vichaa kwelii, huko uefa mnashiriki au unaamini mtabeba uefa au malengo ni kufika robo fainali maana mara ya mwisho kufika robo fainali ilikua 2008
![]()
Uzi wa msimu kesho huo, uefa foundation, Mighty Arsenal the invincibles. is yours Gold?View attachment 2636761View attachment 2636762


unaongelea kombe ambalo hawa wote walikua hawajazaliwa halland, foden, mbappe , saka, martinelli, camavinga,odegard, bellingham pedri, na Gavi. Ukitoa wachezaji wa arsenal hapo wengi wameshabeba makombe ya ligi zao lakini arsenal bado null!!. Akili za arsenal ziliishia 2003!!! Daah kuwa fan wa arsenal ni kichekesho mpaka nashangaa niliwezaje kuwa mpumbavu for 20 years
Kwahio umetimukiaa wapi mkuu??
Vip kuhusu msimu huu ulijua hata iyo top four tungeingia!??

for all 20 years kombe la arsenal limekuwa nikuingia top 4 na kuna miaka kibao pia wamekosa kombe la kuingia top 4 
just imagine hii timu ilivyo kichekesho
halafu unakuta kuna mtu anashabikia arsenal yanii unakuwa mtu mzima lakini dogo wa miaka 16 anakudharau bro mwenye miaka 30 and kisa tu ni shabiki wa arsenal. Kama unabisha jitambulishe tu kwa watu wewe ni arsenal fan uone watu watakavyoangua vicheko 
. Hata wachezaji wenyewe wanaona aibu kujitambulisha ni arsenal palyer refer ben white na mac daniel