Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nimependa hii...akirudi tena uni-tag mkuu.
 
Mbona povu linakutoka sana. Nani kasema Man City ni timu kubwa? Umeambiwa ndio wanapambana wachukue ECL ili waingie kwenye timu kubwa.
 
Mbona povu linakutoka sana. Nani kasema Man City ni timu kubwa? Umeambiwa ndio wanapambana wachukue ECL ili waingie kwenye timu kubwa.
Sasa kama Manchester City ni timu ndogo kelele za Nini humu. Mimi nilidhani wametuzidi kumbe tumewazidi!!
 
Nimependa hii...akirudi tena uni-tag mkuu.
Kwamba Nottingham Forest ni kubwa kuliko Arsenal kisa European Cup? Haaahaaa nyie jamaa ni zaidi ya vichaa.

Ukubwa wa timu ni Fan Base vis a Vis Mapato ya merchandise sio UCL Moja ndio libadili yote hayo.

Wewe unaijua Steau Bucuresti? kwamba kisa ina UCL basi ni kubwa kuliko Arsenal?

Plastic cunts!!
 
Umeambiwa lazima dishi liwe limeyumba kushabikia hii timu.
Dishi limeyumba zaidi kama ukishabikia Man City timu isiyo na historia Bali mradi tu wa waarabu wasiotaka haki za binadamu kujisafisha kwenye jumuiya ya kimataifa.

I can't wait kwa hukumu Yao maana Moja ya proposal ni kuishusha daraja.
 
Nyie wazee mliodhan mnabeba ligi mpo?

Kabisa mlivo vichwa maji mkajua mtachukua ligi mbele ya man city?.. Kwl sometimes ugonjwa wa akil Una dalili nyng sana
.

Hongeren lkn mmefuzu UCL baada ya miaka ming.
 
Dishi limeyumba zaidi kama ukishabikia Man City timu isiyo na historia Bali mradi tu wa waarabu wasiotaka haki za binadamu kujisafisha kwenye jumuiya ya kimataifa.

I can't wait kwa hukumu Yao maana Moja ya proposal ni kuishusha daraja.

Wewe ni kichaa na hatuoni ajabu maana vichaa wengi ni arsenal. Historia ya nini sasa wewe unaongelea mafanikio ya vita ya kwanza ya dunia huko , tunaongelea vitu ambavyo umeviona wewe na si historia ya mwaka 35 huko. Tumekupendelea tukakuambia basi tuhesabu toka uhuru arsenal ana ligi ngap na man city ana ligi ngap? Timu zote ni miradi ya watu hata arsenal ni mradi wa kroenke hoja ya waarabu unaileta vipi wakati hata arsenal ni timu ya
guy
 
Msamehe mkuu.. Uwezo wake wa akil ndo umeishia hapo jarb kumuelewa anayopitia... Ww hujui ni anamsomgo kiasi gn wa mawazo... Depression aliyonayo ni kubwa baada ya kudanganyana na wajinga wenzie kama kina hamis77 kua wao ni mabingwa msimu huu... Msamehe tu jrb kumuelewa.

Ss ww ukitk ujue sio mzima.. Anakwambia team haina historia
... Ss historia si ndo hii inatengenezwa au anadhan historia maana yake ni nn?.. Yan kuna watu ukiona maandiko yao tu unajua huyu sio mzima na utajisumbua na kupoteza mda bure hata kumQuote kumpa iyo attention.
 
Humu kuna vitoto mkuu. Sasa nimeshangaa kajitu 2015 kapo form 5 sijui form 3. Mwaka 2010 ndio kaanza kuangalia mpira.

Na ndio vinaongoza kwa matusi kwenye majukwaa humu ndani.
Vijana washamba kabisa hawa tena hawana heshima
 
Depression aliyonayo ni kubwa baada ya kudanganyana na wajinga wenzie kama kina @hamis77 kua wao ni mabingwa msimu huu
Hakuna mahali nimewahi sema tungebeba ubingwa msimu huu, in fact Mimi ndio mtu pekee humu niliyesema hatuna depth ya kubeba ligi msimu huu.

So usinichanganye na hao mashabiki uchwara
 
Wewe ni plastic fan, mwakani utakua shabiki wa Newcastle. No soul no history no values mnaenda na upepo tu.

Arsenal ni brand kubwa yenye consistency ndio maana makombe yapo spread out ndani ya miaka 100+. Huwezi ukajiita timu kubwa alafu una mafanikio ndani ya miaka 5 alafu ukapotea mazima!!

So have respect for Arsenal, who have more than a combined 25 major trophies, hao Man City Wana Nini Cha kutuzidi?

Plastic cunts
 

Consistency ipi unayoongelea wewe? Watu hawapendi timu eti kisa ni ya zamani hata hao man city pia ni wa zamani. Zamani hawakua katika position nzuri kutokana na uchumi waliokua nao, uchumi wa arsenal ulikua mkubwa kuliko wao now wao wana uchumi mkubwa unalalamika hela za warabu
, uliipendea arsenal nini mkuu? Huwezi mlazimisha mtu aliyezaliwa 2000 awe arsenal wakati toka amezaliwa hajaona mafanikio yoyote ya washika makopo ( Arsenal) . Just fikiri toka umeanza kushabikia arsenal na huyo dogo wa 2000 nan kaona timu yake ikibeba makombe mengi
 

utakufa na stress mwaka huu ,team unayoichukia huwezi ,uwanjan ,kiuchawi ,kipesa ,...

Tafuta pesa huko mtaani maisha yanakuchapa mbwa wewe ,



Mambo ya fan base ,fake fans ,sijui man city fan ni watoto sisi hayatuhusu ....

Team umeshindwa kuifunga uwanjan sasa upo unahangaika na fan base


Hayo mambo pelekea huko arsenal ,sisi team yetu inatembeza kichapo huko barani ulaya ,na June 10 utaweka makalio yako kwenye kiti kuona tunavochukua UEFA ....

Kuichukia man city huipunguzii chochote chokolaa wewe uko sumbawanga ndani ndani hata mkuu wa mkoa wako hakujui
Leo upo unakenua meno et unaichukia team kubwa dunia kama man city

Kalio wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…