Arsenal (The Gunners) | Special Thread


Now wananiita ni wewe [emoji23][emoji23][emoji23]. Ila mimi 20 years ya maumivu inatosha kabisa no pain anymore. Tungekaa nafasi ya 2 toka mwanzo wa msimu nisingekimbia ila hii kubaki 8 games to win the damn title imeniondolea imani yote kabisa if tumeshindwa hapa tutaweza wapi? Sioni kabisa . It was 8 games bro!!!! Eight games[emoji24][emoji24] daah and we bottled it kwa soton , westham and Nottingham hahaha it will never happen arsenal kuwa bingwa
 
Arsenal hii ndo tulioizoea ile nyingine ilikua fake!!
U cant coach heart, desire and mental fortitude!! Hivi arsenal ndo alivyokosa!!!! Yale aliyolalamikia conte kwa spurs ndo hayo hayo kwa arsenal!!! There is no passion at all sio kocha sio wachezaji. Only pep ana desire ya kuwa mshindi kwa njia yoyote ile ona juzi walikua wanajibishana na KDB tu ili mradi wote game washinde!!
 
Liva ilikaa siku ngapi
 
Ww siku zote umekua mkwl sana na ndo maana hata uwa una nguvu za kuonekana hapa jukwaani kwa sbb matarajio yako na hii team yako chin kwa sbb unaijua ni team ya ovyo sana ikija kwny mambo serious.

Lkn wapumbav wengne kama @hamiss77 na genge lake lingne la matapeli ambao hopes zao zilikua juu kuliko uhalisia leo hii wamekua hawaonekani hata walipo.

Arsenal sio team ya kusema uiwekee dhamana kwny mambo serious ujue tu unaweza pata presha ya kuua.
 
Liva ilikaa siku ngapi

Liverpool ilikua siku 141 alianza kuongoza ligi December katikati huko , arsenal mmeanza august mpaka April. Arsenal siku 248 ni karibu mara mbili ya siku za Liverpool, Arsenal ni bottlers ( 2013/2014) , 2015/2016, 2007/2008 hii mpaka machozi yalinitoka Birmingham alilianzisha vikafuata vipigo vya kutosha hii 2007 tuliona kama invincible inajirudia . Mpaka arsenal kufananishwa na tembo juu ya mtu si bahati mbaya, watu wameiona arsenal ikichoma na wanaijua ni wachomajii
 
Kuna siku kwenye kipindi cha michezo cha clouds kipindi hicho Arsenal anaongoza ligi Kwa tofauti kubwa mtangazi Lwambano akawauliza wenzake "Hivi ukiambiwa uchague Kati ya kupewa billion moja asahiv au upewe billion mbili Arsenal akichukua kombeπŸ˜‚πŸ˜‚" yeye binafsi alichagua Bora apewe billion moja....Sasa namuelewa
 
Nilichogundua huyu Stan Kroenke ndio chanzo cha yote haya,yuko pale kufanya biashara na anatengeneza pesa nyingi sana kwa kinachotokea kwa team...
 
Umetoa maelezo mengi. Liva alikaa kwa siku ngapi? Ule msimu wa Gerrard na wa juzi
 
Nilichogundua huyu Stan Kroenke ndio chanzo cha yote haya,yuko pale kufanya biashara na anatengeneza pesa nyingi sana kwa kinachotokea kwa team...
FACT Kroenke anapata hela nyingi sana kupitia Arsenal, na ukweli ni kuwa Arsenal inahitaji mmiliki wake toka Saudia huko ndio team itabadilika ila hawa wamarekani au waingereza hawana uwezo hata kidogo na coach akiwa na uwezo hafifu ndio kabisaa refer Chelsea Manchester United
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…