Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenyani ni takataka na uchafu yani timu inajisifia kucheza mpira miaka nenda Rudi lakini hata ka ueropa hakuna hafu tukisema ni kikundi Cha wauni mnanuna.

Nyie tushawaambia hapa nyie ni under dog Sasa under dog na mpira mzuri wapi na wapi nyie mnatakiwa kupata kocha Aina ya Mourinho ili muweze kuonja hata radha ya ueropa

Hii ni game ya jana kati ya Roma vs Leverkusen

Roma ajapiga hata shot moja langoni kwa adui lakini huyo yupo zake fainali.

Mourinho alishasemaga hivi na mnukuu.

Attacking wins you games, but defending wins you titles. JM
1684471364136.jpg
 
Wazee wa kupress na kuoverload naona mpo mnarud mmoja mmoja kama mnatoka jandoni.

Mwaka wenu bora na porojo zote mnaenda Trophyless acheni kua hopeless kiasi hichi.. Yan na hype yote ile mnaenda bila kikombe chochote.

Anyway sisi wana Gunners Lia Lia malengo yetu yametimia ya msimu huu tumefuzu UCL.
 
Amkeni amkeni nyie arsenyani mna raha gani????? Eti mlikuwa mnatusema karabao sio kombe? Wapuuzi kweli sasa tuambieni kombe lenu ni lipi???
Tena nawashauri badilisheni jina la timu ili hiyo laana iwatoke
hili hapa chini kombe walilopata msimu huu.
Ila daaahh ukiachana na paka hakuna kiumbe kingine chenye roho ngumu kama mashabiki lialia wa Arsenyau.
Screenshot_20230518_150420.jpg
 
Arsenyani na Brighton zote zinaonyesha classic symptoms za mid table teams.
Brighton yeye anakomaa na timu kubwa anaishia kugongwa na timu ndogo, Arsenyau nae misimu yote ukiacha huu anaenda vice-versa anakomaa na timu ndogo halafu anagongwa na timu kubwa, miaka zaidi ya 8 akashindwa hata kunusa top4.
Arsenyo na Brighton zote ni dugu moja (mid table teams) tofauti yao ni vile Arsenyeto msimu huu amebahatika kuingia kwenye top 4.
Umeandika ujinga.

Ila sitakufuata katika level yako ya ujinga.

Misimu miwili nyuma ikaamuliwa kuwepo super league ambayo zitashiriki timu kubwa pekee au timu ambazo zinaonyesha consistent.

Spurs aliingia kwa kuonyesha consistency. Arsenal aliingia kwakua ni timu kubwa.

Brighton aliingia kama nani? Kumbe hata hakuingia.

Wakati mwingine hua ukiniquote sikujibu kwasababu naona una ujinga mwingi.
 
Mashabiki wa arsenyani mmekubali kuto kutumia akili zenu kabisa nyie ndo mlisema mta dominant hii ligi kwa miaka 10 nyie ni vichaa tunajua.

Nasikia kwa sasa ndugu yenu hamis77 yupo milembe anapata matibabu ya afya ya akili ndo maana kapotea hapa.
 
Msitegemee kabisa msimu ujao mambo yatawaendea vizuri kama msimu huu.
Ilikua ni one season wonder, Ucl mnaenda kuchomolewa kwenye makundi kisha mnarudi tena Europa halafu msimu ujao kama kawaida yenu hio top 4 mtaishia kuisikia tu.
One season wonder ?? Toa na sababu sio unakua kama mganga.
 
Mashabiki wa arsenyani mmekubali kuto kutumia akili zenu kabisa nyie ndo mlisema mta dominant hii ligi kwa miaka 10 nyie ni vichaa tunajua.

Nasikia kwa sasa ndugu yenu hamis77 yupo milembe anapata matibabu ya afya ya akili ndo maana kapotea hapa.
Hata wewe umeandika ujinga pia.

Nitakupa same treatment, sitahangaika kuifikia level yako ya ujinga.
 
Umeandika ujinga.

Ila sitakufuata katika level yako ya ujinga.

Misimu miwili nyuma ikaamuliwa kuwepo super league ambayo zitashiriki timu kubwa pekee au timu ambazo zinaonyesha consistent.

Spurs aliingia kwa kuonyesha consistency. Arsenal aliingia kwakua ni timu kubwa.

Brighton aliingia kama nani? Kumbe hata hakuingia.

Wakati mwingine hua ukiniquote sikujibu kwasababu naona una ujinga mwingi.

Kipi kinafanya arsenal kua timu kubwa, arsenal sio timu kubwa , kipi kinaifanya arsenal kua timu kubwa? Timu haina epl miaka20 unaita timu kubwa timu haina uefa hata moja unaita timu kubwa , timu haijacheza uefa miaka zaidi ya miaka 6 unaita timu kubwa basi sawa taja mwaka ambao arsenal kacheza tu robo fainali uefa ni mwaka gani? Leicester city kachukua ubingwa miaka 7 iliyopita kacheza mpaka sijuii robo fainali ilee miaka 5 nyuma
Ila arsenal ana miaka zaidi ya 13 hajaingia hata robo fainali ya uefa. Ukubwa wa arsenal uko wapi hapo.
Arsenal si timu kubwa
 
Leicester kachukua EPL. Msimu huu yuko wapi?

Unaelewa kua timu kubwa ni inakua na firm footing kwenye ligi? Msimu ukianza hakuna mtu anayeweza kuwaza United, Arsenal, Chelsea au liva zitashuka daraja.

Leicester uliyoitaja huwezi kuiwazia hivyo? Unaifeel tofauti sasa?

Now kamuulize Perez na wenzake walivyosema zitashiriki timu kubwa na Arsenal ikaitwa waliangalia nini.
 
Inatia uvivu kujibu maoni ya mtu ambayo msingi wake ni hisia zake tu. Anakua hafikirii sawasawa ataandika ujinga na emoji mbili tatu kisha anakuquote.
 
Back
Top Bottom