Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kila lenye heri na likawe juu yako huko unakohamia.
 
Una uhakika we ni shabiki wa arsenal kweli?

For now mimi sio shabiki wa arsenal ila nilikuwa for 20 years una wasiwasi na hili??… ni challenge nikuthibitishie nakumbuka nikiwa mdogo kabisa standard 3 nishawahii kataa kununua full jersey ya Barcelona deco mgongoni nikanunua tshirt ina nembo tu ya arsenal , kwa jinsi nilivyokua na mapenzi ya dhati na arsenal.

Nakumbuka arsenal ilicheza game moja na man utd tulikufa goli 4-2 tulikuwa home enzi zile man utd anavaa jezi nyeusi ronaldo wa motoo vibaya mnoo!! Tulikua watoto mabraza na madogo wengi walihama arsenal still nilibaki mwenyewe!!! I have been arsenal fan for so long braza!
 
SaSa ulitaka utoke wa 8 mpaka wa 1? Shukuru kuingia top 4. Hayo mengine ni majaliwa

Ndo akili za arsenal hizi!!!! Sio kwa wachezaji mpaka mashabiki . Leicester city alitoka nafasi ya ngapi akawa bingwa !!!! Unajua kwanini Leicester alikua bingwa,waliokua wanamkimbiza walikua ni losers Arsenal & Tottenham!!!!
Leicester katoka nafasi ya 15 na akawa bingwa sembuse arsenal nafasi ya 8.
Ligi uongozee match 29 na uko 8 points ahead still game 9 then unashinda kuchukua ubingwa . Hatuongelei kuwa nafasi ya 8 tunaongelea mechi kubaki 8 na kushindwa kuchukua ubingwa. Arsenal fans wana matatizo ya akili bora mimi nimepona sasa
 
Never say never
 
Mkuu kwa analysis hiyohiyo we unahisi man u wachezaji wangapi wanastahili first eleven?
 
Arsenal fans tunajua kabisa mmeukimbia uzi wenu Lakini msijali sisi tupo humu tunausongesha tukiendelea kuwatafuta kwenye nyuzi zingine hakika mtakuwa na discipline next season
Timu yako mkuu?
 
Ila nyinyi mlivyokuwa mnashinda humu?
Mkuu kwa arsenal hii sina ninachowadai
 

Hii si kweli bro martineli unamdai nini?? So far this season kafunga goli 15!!! Grealish nitajie ana goli ngap au kama alishawahi fika hizo goli akiwa aston villa au hapo hapo city, jiulize anthony ana goli ngapi? Ukimtoa halland man city niambie mchezaji gani wa man city kamzidi martineli magoli? Kuna wachezaji wengine wako poa sana ila tatizo wako arsenal trust me!! Stones ametoka everton, Ake katoka bournemouth kuna baadhi ya wachezaji ni vile tu wapo looser side .
Huyu ruben dias , ake , stones still wangekua arsenal wangeonekana ni vituko kama vile wanavyoonekana wengine!!!
 

Unavyosema mchezaji kuwa matured una maana gani? Leicester city ilikua ina mchezaji gani matured?? Matured in terms of umri au uzoefu na ligi??
 

Trust me arsenal haina project yoyote !! Utasema arsenal wana project kama umeanza kushabikia arsenal 2017 kwenda juu lakini for me sioni project yoyote. Tatizo la arsenal halijawahi kutatuliwa kwa miaka zaidi ya 20
Nakumbuka kuna mwaka sijui mwaka gani hata carabao cup tulilikosa tulifungwa na Birmingham just imagine
, nakumbuka jack wilshere analiaa daah , kuna fainali na hull city tuliponea chupu chupu, ile game hull city alivyokua anaongoza niliamini kabisa arsenal itakuwa imelaaniwa even hull city anatufunga final ila tulishindwa kwa mbinde sana
arsenal ni false hope haina project ni kudanganyana.

Tatizo la arsenal ni je inaweza kumaliza game 13 au 10 za mwisho in winning way ,kuna utofauti gani kati ya arsenal hii na ya 2016 Leicester anachukua ubingwa even pundits walisema game itakayoamua ubingwa ni arsenal vs Leicester city. Game tulishinda mwishoni kabisa kichwa cha welbeck tukawa na chance kubwa yakua champions tukacheza game iliyofuata na swansea just imagine tukafa 2:0
ilikua imebaki sisi na Leicester atakayeshinda mechi zake vizuriii ndo bingwa still tukachoma.
Kuna msimu tena ramsey alikua motooo mpaka december tunaongoza ligi as usual tukachoma

Unai kachukua villareal kashinda europa kwa arsenal alichoma , hii aston villa ikienda europa au conference itachukua ubingwa. Tatizo ni arsenal
 
Eneo moja ambalo tutazungumza lugha moja ni kwenye eneo la usajili.
Tunahitaji watu haswa,
Saka anahitaji a very competitive RW wa kumchallenge na kumpumzisha baadhi ya mechi na kwa muono wangu anatakiwa awe technical na tactical traits ambazo ni tofauti na SAKA ili kumuoffer mwalimu chaguzi tofauti kulingana na mpinzani

False 9/link up play striker?
Kwangu ndiyo na hapana.kwa baadhi ya mechi kina jesus na style zao watakusaidia.ila kuna mechi unaweza ukatengeneza clear chance 2 tu out of 90 minutes na hapa ndo utagundua jesus na nketiah hawakuvushi.
Anahitajika striker ambaye ni killer,brutal,physical na more ni lethal.Epl haihitaji mchezo.barcelona hakuwa mjinga kumnunua lewandowsk na pep sio taahira kumnunua halland.

LB.huku hatuna mtu.zinchenko hapana,tierney prone injury. Atafutwe mtu katili ambaye kila winga atamuwazia.option iwe ni uwezo wa kulinda kwanza.

RB.huku tuna spare tyre.tomi injury prone,white hapana analazimisha na kwa mechi zenye presha unamuona anatera.slow pace hafai hapa japo anasaidia.Atafutwe mtu haswa aje akae hapo.

NAMBA SITA(lone six) jamani partey ni mtu ila tunahitaji mtu zaidi yake.anakupa flexibility,eagle eye kwenye pass,coverage kwenye safu ya ulinzi, anatawanya mipira na anakupa pass ya mwisho.Jamaa ni prone injury,aged kwa sasa,fatigue inamnyemelea kwa kutumika sana na kuna muda anapoteza tempo na hana ule ulatili wa asili wa namba sita.we need a BEAST.atatoka wapi? Kazi ya scouting hiyo.

NAMBA 8 CAM(driver)
Shaka anakupa matured mentality,shots and trios,physicallity,Ukatili,leadership and sometimes passes.Anakunyima pace kwa transitional teams,lacking flexibility,hana brain na traits za driver namba nane.jamaa ni old testament 8.mgumu mno.ATAFUTWE MTU HASA.

Anyway kama tunataka kuchukua makombe hakuna namna hela itoke waje watu hasa.usajili wa viraka hautatusaidia bora kutibu magonjwa yote kwa dirisha moja ili tupime uwezo wa kocha

Dah we love arsenal
 
Mmeachana na mambo ya ubingwa na sasa mmegeukia kujadili jezi
sasa kwa jinsi mlivyo fungu la kukosa usishangae designer wa jezi akafa kabla hajamaliza kazi
acha uchawi we nyumbu kwanza malengo yetu msimu huu ilikuwa ni top 4 ili tuingie uefa ila mbio za ubingwa zilijileta zenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…