Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Trust me arsenal haina project yoyote !! Utasema arsenal wana project kama umeanza kushabikia arsenal 2017 kwenda juu lakini for me sioni project yoyote. Tatizo la arsenal halijawahi kutatuliwa kwa miaka zaidi ya 20
Nakumbuka kuna mwaka sijui mwaka gani hata carabao cup tulilikosa tulifungwa na Birmingham just imagine, nakumbuka jack wilshere analiaa daah , kuna fainali na hull city tuliponea chupu chupu, ile game hull city alivyokua anaongoza niliamini kabisa arsenal itakuwa imelaaniwa even hull city anatufunga final ila tulishindwa kwa mbinde sana arsenal ni false hope haina project ni kudanganyana.

Tatizo la arsenal ni je inaweza kumaliza game 13 au 10 za mwisho in winning way ,kuna utofauti gani kati ya arsenal hii na ya 2016 Leicester anachukua ubingwa even pundits walisema game itakayoamua ubingwa ni arsenal vs Leicester city. Game tulishinda mwishoni kabisa kichwa cha welbeck tukawa na chance kubwa yakua champions tukacheza game iliyofuata na swansea just imagine tukafa 2:0 ilikua imebaki sisi na Leicester atakayeshinda mechi zake vizuriii ndo bingwa still tukachoma.
Kuna msimu tena ramsey alikua motooo mpaka december tunaongoza ligi as usual tukachoma

Unai kachukua villareal kashinda europa kwa arsenal alichoma , hii aston villa ikienda europa au conference itachukua ubingwa. Tatizo ni arsenal
Labyrinth 84 hili timu limekutesa kwa miaka mingi sana Aisee, naona msimu huu umeamua rasmi kutoa nyongo zote safi sana Mkuu.
Nnahakika hata hamis77 nae anatamani sana atoe nyongo zake hapa ila kila akikumbuka jinsi alivyokua anaiaminisha hii misukule ya Arteta nafsi yake inamsuta.
 
Mimi napenda mpira kwa ujumla wake ila naifuatilia Arsenal ndiyo maana nikiwa na nafasi naangalia mechi zote na ligi zote. Ukiwa hivi haitakusumbua kuona na kutarajia.

Kwa ligi ua Serie A Juve alipokonywa point 15 akashuka hadi nafasi ya 9 leo yupo nafasi ya pili. Sijisikii kuongeza ligi zingine lakini lakini point yangu ni kwamba kwa miaka yote timu za kariba ya Juve zinakua kwenye pressure na zinasurvive zina wachezaji wanaojua nini wafanye wanaojua umuhimu wa game hii au ile.

Arsenal ina wachezaji wawili wa hivyo Zinchenko na Jesus, hawa wengine wamekuzwa kisystem mno so system ikicollapse na wenyewe wameenda, wakati timu kama City, Juve, Bayern, system ikicollapse individual brilliance inawabeba.

Hao sasa ndiyo wachezaji wanaotakiwa kuja, wanaoweza kuwasha moto kila inapohitajika.
Nilikua nawaambia ndugu zangu wasiishikilie hoja ya bora hatupo FA au carabao au europa na city ana games nyingi kwakua kwa determined team kwa pale tulipokua muda tunacheza na sporting ilikua top four tuna uhakika nayo kwa 70% so ingekua logic kukomaa na Europa.

City ana tournaments nyingi ila ana kikosi. Watu wakawa wanatoa hoja mfu, na siyo hivyo tu ana kikosi chenye individual brilliance na yeye na kikosi chake wanaweza kudeal na pressure. Nafikiri pia udogo wa Arteta upo hapa kwenye kudeal na pressure tactically he is good ila huku kwingine ni anahitaji huu msimu na kikosi kipana zaidi.
Siku na mwambi bwana hamis77 kuwa city kikosi chake kimeshiba Cha kwenye bench kuliko Arsenal akaanza kutoa maneno ya kejeri kikowapi Sasa.
 
Ushabiki ndivyo ulivyo. Ingawa msimu huu kiukweli ubingwa ulikuwa nje nje. Kina Arteta na timu wamezingua sana nao wanajua hilo. Kwa shabiki ni sahihi kabisa kuona ubingwa upo toka October huko na kina Mkorea na Hamis walikuwa sahihi kabisa.

Ila ndio ushabiki huo. Nyie hamjaperform vibaya msimu huu. Shida ni kuwa hamfungi sana na mmepokea vipigo vichache vikubwa na kuwapatia goal difference ya hovyo. Ila kiushabiki Lazima tuwaponde kuwa mna timu mbovu na mpira wa janja janja.

Simba hatujawapita sana msimu huu ila tumekuwa mabingwa na tunawaponda utadhani wamepona kushuka daraja.

Sisi tumesota na kukosa ubingwa kizembe na tutamaliza wa 2. Ila ukiingia humu utadhani tuko chini ya Chelsea
Ila arteta ni wakufukuzwa hapo Arsenal mnaitajika mpate kocha mfano wa Mourinho au Conte hatawafaa sana.

Inabidi muachane tu na uo mpira wa pasi pasi labda mtapata hata mafanikio ya msimu mmoja.
 
Eneo moja ambalo tutazungumza lugha moja ni kwenye eneo la usajili.
Tunahitaji watu haswa,
Saka anahitaji a very competitive RW wa kumchallenge na kumpumzisha baadhi ya mechi na kwa muono wangu anatakiwa awe technical na tactical traits ambazo ni tofauti na SAKA ili kumuoffer mwalimu chaguzi tofauti kulingana na mpinzani

False 9/link up play striker?
Kwangu ndiyo na hapana.kwa baadhi ya mechi kina jesus na style zao watakusaidia.ila kuna mechi unaweza ukatengeneza clear chance 2 tu out of 90 minutes na hapa ndo utagundua jesus na nketiah hawakuvushi.
Anahitajika striker ambaye ni killer,brutal,physical na more ni lethal.Epl haihitaji mchezo.barcelona hakuwa mjinga kumnunua lewandowsk na pep sio taahira kumnunua halland.

LB.huku hatuna mtu.zinchenko hapana,tierney prone injury. Atafutwe mtu katili ambaye kila winga atamuwazia.option iwe ni uwezo wa kulinda kwanza.

RB.huku tuna spare tyre.tomi injury prone,white hapana analazimisha na kwa mechi zenye presha unamuona anatera.slow pace hafai hapa japo anasaidia.Atafutwe mtu haswa aje akae hapo.

NAMBA SITA(lone six) jamani partey ni mtu ila tunahitaji mtu zaidi yake.anakupa flexibility,eagle eye kwenye pass,coverage kwenye safu ya ulinzi, anatawanya mipira na anakupa pass ya mwisho.Jamaa ni prone injury,aged kwa sasa,fatigue inamnyemelea kwa kutumika sana na kuna muda anapoteza tempo na hana ule ulatili wa asili wa namba sita.we need a BEAST.atatoka wapi? Kazi ya scouting hiyo.

NAMBA 8 CAM(driver)
Shaka anakupa matured mentality,shots and trios,physicallity,Ukatili,leadership and sometimes passes.Anakunyima pace kwa transitional teams,lacking flexibility,hana brain na traits za driver namba nane.jamaa ni old testament 8.mgumu mno.ATAFUTWE MTU HASA.

Anyway kama tunataka kuchukua makombe hakuna namna hela itoke waje watu hasa.usajili wa viraka hautatusaidia bora kutibu magonjwa yote kwa dirisha moja ili tupime uwezo wa kocha

Dah we love arsenal
Jinsi mlivyokua mnawasifia hawa nguchiro wenu leo mnaanza kuwakataa wenyewe?
Tajiri yenu Enos Stanley Kroenke amesema msimu huu hata toa hata mia yake mbovu kununua mchezaji, anadai sera ya timu ni kukuza vipaji na kuviuza ili kampuni yake ipate faida ya kutosha.
Hio sera ya kununua wachezaji wa bei ghali anasema haina faida yoyote zaidi ya kuifilisi tu kampuni yake ya Kroenke Sports & Entertainment.
Kroenke ameongea hayo huku akitolea mfano hai wa timu ya Chelsea ilivyo Sasa baada ya kutumia pesa nyingi kusajili.
tapatalk_-1158663258_360x420.jpg
 
Napoli wamebeba ubingwa wao wa Serie A mwaka huu baada ya miaka 33. Huoni kama miaka mingi ya kujaribu na kufeli ndiyo itaongeza furaha na thamani ya ubingwa siku Arsenal watakayoweka mikono yao kwenye taji la EPL.

Napoli haijawahiii kuwa na misimu 3 inaongoza ligi mpaka december then ikazingua kuna utofauti wa napoli na arsenal… Arsenal ana zaidi ya misimu 3 anaongoza ili ikifika December anachoma wazungu wanaita “ bottled the title” napoli hajawahi kubottle the title… amepata chance kaitumia even Newcastle akipata chance kama arsenal iliyopata atakuwa bingwa ila arsenal haweziii fanya hivyo!!! Kuna utofauti mkubwa
 
Arsenal ingekua haijaongoza ligi kwa muda wote huo na kwa tofauti ya point 8 na game zikiwa zimebaki 8 angekuwa tu muda wote yupo second place tungesema “ yeah well done boys “ mmekua na msimu mzurii ila umeongoza ligi siku zote hizo then unachoma. Huwezi kusema imejitahidi au ilikua na msimu mzuriiii kwa kuchoma game 8 !!!!

### kataa kuwa kichekesho arsenal fan ni kichekesho na ujinga###
 
kama ni shabiki uliewahi ishuhudia arsenal ikibeba kombe la EPL ;huwezi kuhama timu eti kisa lbda haijabeba tena muda mrefu ila ikiwa ni shabiki yule ambae hujawai shuhudia ;unaweza kuhama na
ukawa fata upepo mzuri tu ktk safari yko ya ushabiki.
 
Arsenal ingekua haijaongoza ligi kwa muda wote huo na kwa tofauti ya point 8 na game zikiwa zimebaki 8 angekuwa tu muda wote yupo second place tungesema “ yeah well done boys “ mmekua na msimu mzurii ila umeongoza ligi siku zote hizo then unachoma. Huwezi kusema imejitahidi au ilikua na msimu mzuriiii kwa kuchoma game 8 !!!!

### kataa kuwa kichekesho arsenal fan ni kichekesho na ujinga###
###KATAA KUWA KICHEKESHO, ARSENAL FAN NI KICHEKESHO NA UJINGA###

Nakazia.
 
Mwamba huyu hapa sasa.
Yaani maisha yakutie stress halafu unajipa moyo wacha nikapunguze stress kwenye burudani ya soka, unaenda zako kuishabikia mi Arsenyau na yenyewe inazidi kukutia simanzi na majonzi tu kila msimu, halafu kuna kima zinakuzuia ubaki tu hapohapo kwenye maumivu yasiyo kwisha.
Hata mke ambae umezaa nae ukiona hamna furaha kwenye ndoa unapiga chini unaenda tafuta mrembo mwingine sembuse huyo Arsenyau?
Maisha yenyewe mafupi haya jamani, nyie kina Forgotten msiwalazimishe watu wabakie sehemu inayowapa mateso na msongo wa mawazo mwisho wa siku wanaishia kujitundika kwenye kamba.
Binafsi mimi nakupongeza sana Labyrinth 84 kwa huo uwamuzi uliochukua, ni uwamuzi wa busara sana na mimi ninakuhakikishia kukuunga mkono na kukusaport kwa kuendelea kuzihamasisha hizi kima nyingine zilizobakia humu zinazoendelea kuteseka kwa misongo ya mawazo kufanya maamuzi ya busara kama uliyofanya wewe. View attachment 2623633

 
kama ni shabiki uliewahi ishuhudia arsenal ikibeba kombe la EPL ;huwezi kuhama timu eti kisa lbda haijabeba tena muda mrefu ila ikiwa ni shabiki yule ambae hujawai shuhudia ;unaweza kuhama na
ukawa fata upepo mzuri tu ktk safari yko ya ushabiki.

Umeshuhudia arsenal kabeba kombe la epl mara ngap toka uwe arsenal fan? Umeanza kushabikia arsenal mwaka gani?
 
Labyrinth 84 hili timu limekutesa kwa miaka mingi sana Aisee, naona msimu huu umeamua rasmi kutoa nyongo zote safi sana Mkuu.
Nnahakika hata hamis77 nae anatamani sana atoe nyongo zake hapa ila kila akikumbuka jinsi alivyokua anaiaminisha hii misukule ya Arteta nafsi yake inamsuta.

Hili timu limetesa sana watu.. daah brighton wamebutua kopo tukimbie kama kombolela lakini watu wanabakii.. upande wa huko wameshajinyonga kibaooo
 
Hili timu limetesa sana watu.. daah brighton wamebutua kopo tukimbie kama kombolela lakini watu wanabakii.. upande wa huko wameshajinyonga kibaooo
poleni sana aiseeeeee
Yaani timu lenyewe linaitwa AsiAnali faka halafu nyinyi mashabiki mmeshindwa hata kushtukia kua hamna timu hapo.
Bayern-Munich-homophobic--009.jpg
 
Back
Top Bottom