huyo na hamis77 ni account moyaYule Aaron Arsenal tuliyeambiwa kapoteza simu, siku ya ijumaa nilikuta kaposti komenti kwenye uzi wa yule jamaa anayeshangaa mademu kutongoza wanaume.
Nilikuta anauliza mbona yeye hapati hizo bahati za kutongozwa na wanawake?
Kutoka kuwa mchambuzi (uchwara) mpaka kuomba kutongozwa na wanawake
Ateta kamatia hapohapooo.
Tunao maana sisi kama manyumbu tushabeba carabao tupo na fa fainali tupo bado na big 4 Sasa sisi na nyie Nani kaupiga mwingi.Kinachonipa raha ni mnaokuja kutuzodoa humu.
Mwenye haki hiyo ni man city tu. Hivi chelsea,man u na liver huu ujasiri mnaupata wapi wadau
Mkuu unaona mbali sanaaaπ€£Brighton ana game na city na ana game na Arsenal...hawezi fungwa zote mbili... Brighton anaweza amua Nani awe bingwa..
π€£π€£π€£π€£π€£Factos Factos, wajaribu next season"Arsenal tuna advantage sababu sisi tuna game week after week, wachezaji wana muda mwingi wa kurecover tofauti na city wana mechi kila baada ya siku 3, arteta is a genious"
Man City 4-1 southampton
2 days later City 3-0 Bayern
3 days later City 3-1 leicester
3 days later Bayern 1-1 City
3 days later City 3-0 shelffied utd
3 days later City 4-1 Arsenal
3 days later City 2-1 fulham
2 days later City 3-0 west ham
2 days later City 2-1 Leeds
2 days later City 1-1 Madrid
4 days later City 3-0 Everton
2 days later vs Real Madrid
ARSENAL
Arsenal 4-1 leeds
7 days later Arsenal 2-2 Liverpool
7 days later, Arsenal 2-2 west ham
6 days later Arsenal 3-3 Southampton
5 days later Arsenal 1-4 City
7 days days later arsenal 3-1 chelsea
4 days later: Arsenal 2-0 Newcastle
7 days later: Arsenal 0-3 brighton
7 days later vs nottingham
Nafikiri tunaona tofauti ya boys at work vs men at work.
Mkuu unaona mbali sanaaaπ€£
Kwani tumebisha? Ila zimewasaidia nn na kutoka trophyless.Arsenal ndio time pekee kati ya timu kubwa iliyofanikiwa kuchukua point 4 kutoka kwa Liverpool
Hata mm naamini uyasemayo, we are TAITO KUNITENDA....Tunahitaji droo kwa man city, Newcastle na kushinda mechi 6 kuwin EPL 93 point against city 92,
akiwin mechi zake zote isipokuwa droo kwa arsenal
*******
Bado naamini arsenal tunachukua EPL
Kuna watu wanajua mpiraBrighton ana game na city na ana game na Arsenal...hawezi fungwa zote mbili... Brighton anaweza amua Nani awe bingwa..