Forgotten
JF-Expert Member
- Jul 20, 2018
- 3,634
- 11,116
Sasa kwenye ligi sheria inaamini bado wana nafasi. Ila kiuhalisia msimu wao umeishia hapa.Ni ngumu kwa Arsenal kuweza kupata magoli zaidi ya 9 kwenye mechi mbili alizobakiza ili kumfanya awe bingwa kwa utofauti wa magoli
GD kati ya City na Arsenal ni 9
Wakati City kwenye mechi zake tatu akitoa sare za magoli mechi mbili tu haitawezekana Arsenal kufikia idadi ya magoli aliyonayo City.