Scars
JF-Expert Member
- Apr 8, 2017
- 52,659
- 130,470
Sio point 2?Kwa jinsi msimamo wa ligi ulivyo sasa, Man City wanahitaji points 3 tu kwenye mechi zao 3 zilizobaki kuwa mabingwa.
Hahahah! MAKONDOO FC yapo hoi.
Sio point 2?Kwa jinsi msimamo wa ligi ulivyo sasa, Man City wanahitaji points 3 tu kwenye mechi zao 3 zilizobaki kuwa mabingwa.
Hahahah! MAKONDOO FC yapo hoi.
Arsenal ndoo ya maji ya kazi gani mzee.? Hawa tunawabebesha ndoo yenye kunguni wanajikune mbele hukoooooooooNtafurah mkuu kama hata nikikupiga mkono[emoji23] nikabeba ndoo.
Sisi watu wa Arsenal tunasema hii ngoma bado.
Arsenal NDOOO YA MAJI.
Haaland Kiatu.
Points 2 hawezi kuwa bingwa kwasababu mathematically bado Arsenal atakuwa na nafasi ya kuwa bingwa.Sio point 2?
Tanzania ilipata wachambuzi wapya, msimu huu ulikuwa wa mateso sana kwa sisi mashabiki wa mpira.[emoji81][emoji81][emoji81][emoji81]kelele zilkua nyingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Arsenal ndoo ya maji ya kazi gani mzee.? Hawa tunawabebesha ndoo yenye kunguni wanajikune mbele hukooooooooo
Kiaje?Points 2 hawezi kuwa bingwa kwasababu mathematically bado Arsenal atakuwa na nafasi ya kuwa bingwa.
Mikel Aristote atulie tuu, asije kupigwa red tukaonana nae msimu ujaoTAITO KUNITENDA [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2621881
[emoji23]Kiherehere chake kitamponza tukutane msimu ujao.Mikel Aristote atulie tuu, asije kupigwa red tukaonana nae msimu ujao
Arsenal akifungwa leo atakuwa kabakisha mechi 2 ambazo ikitokea akashinda atakuwa na points 87. Man City akipata points 2 tu ktk michezo yake iliyobaki atakuwa na points 87, watafungana na Arsenal hivyo GD itaamua. Kwahiyo ili Arsenal awe bingwa itabidi hizo mechi 2 ashinde kwa magoli mengi.Kiaje?
Ni ngumu kwa Arsenal kuweza kupata magoli zaidi ya 9 kwenye mechi mbili alizobakiza ili kumfanya awe bingwa kwa utofauti wa magoliArsenal akifungwa leo atakuwa kabakisha mechi 2 ambazo ikitokea akashinda atakuwa na points 87. Man City akipata points 2 tu ktk michezo yake iliyobaki atakuwa na points 87, watafungana na Arsenal hivyo GD itaamua. Kwahiyo ili Arsenal awe bingwa itabidi hizo mechi 2 ashinde kwa magoli mengi.
Ni scenario ngumu kutokea lakini kisheria ni lazima Man City apate points 3, kitu ambacho ni 100% kitatokea.