Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Nyie KENGEEEEEEE mpooo.
Screenshot_20230514_194357_All%20Goals.jpg
 
Kwakuwa mechi ijayo ya Man City anacheza na Chelsea tena nyumbani kwake, mimi shabiki wa Chelsea natangaza rasmi kumpa heshima ya ubingwa kwa kumfanya atangazwe bingwa akiwa nyumbani kwake.


Man City 3 : 0 Chelsea
Ntafurah mkuu kama hata nikikupiga mkono nikabeba ndoo.

Sisi watu wa Arsenal tunasema hii ngoma bado.

Arsenal NDOOO YA MAJI.
Haaland Kiatu.
 
Back
Top Bottom