MaskiniCity kesho analowa ndio chansi yetu sasa kukaa pale juu. Eveton hawezi kubalikushuka daraja yan wameyakanyaga kina pep
Sent from my CPH1803 using JamiiForums mobile app
Mkiwapiga brighton leo......sijuiiZinchenko, saliba Hadi msimu ujao
Square depth ndio alichotuzidi man city
Ngoja kwanza tumbamize huyu Brighton then tuje kupiga hesabu vizuri hapa
Chelsea
Brighton
Brendford
Wanaweza wakatufanyia kazi hawa vijanaView attachment 2621741
Usiwape matumaini hewa, wakipigwa leo sisi tukashinda kwa chelsea imeisha hiyoo.Arsenyani si mnajua mkifungwa leo na City akishinda kiporo chake shughuli ndiyo inakuwa imeishia hapo!!!
WATAPIGWA TUMkiwapiga brighton leo......sijuii
Tulieni hapo hapo, hakuna mchezaji atakayesepa mpaka mchukue ubingwa msimu wa 2300-2301Not convinced if WE still need Xhaka next season








Tayari uko
.