Wachezaji wengi wa Arsenal Wana fatigue including Partey. Ila kwenye ubora wao nadhani Partey ana offer vitu vingi kuliko JorginhoArteta sasa rasmi akili zimemuingia ila ni too late, Wale wapuuzi wa team Partey wako wapi waliokuwa wakirusha matusi humu? Jorginho ni Class
Vitu gani hivyo?Wachezaji wengi wa Arsenal Wana fatigue including Partey. Ila kwenye ubora wao nadhani Partey ana offer vitu vingi kuliko Jorginho
We are now guaranteed of a second place
Partey yupo more flexible kuliko Jorginho, hii inamfanya Partey kuwa mzuri kwenye tight space. Partey defensively ni mzuri kuliko Jorginho, Partey ana jicho zuri la kupiga vertical pass kuliko Jorginho (flexibility inamsaidia).Vitu gani hivyo?View attachment 2613935
Hata ParteySema Arsenal Kuna kama athleticism flani imepungua, ukicompare na tulivyoanza ligi.
Naona kama Kuna wachezaji Wana fatigue, hasa Saka na Zinchenko
Vipi, tupe mrejeshoAsante sana arsenyani Sasa nikakae nafasi ya 3 leo.
Kumbe sometimes mnakuwaga na akili.
Yuko overpriced but a descent DMMe kwanza simkubali walanini, Wili Jr anampa misifa kishenzi
Jorginho ni passer mzur ila akifanyiwa high pressing hawezi kucheza na anaachia karibu na lango bure bure tuPartey yupo more flexible kuliko Jorginho, hii inamfanya Partey kuwa mzuri kwenye tight space. Partey defensively ni mzuri kuliko Jorginho, Partey ana jicho zuri la kupiga vertical pass kuliko Jorginho (flexibility inamsaidia).
Rejea game yetu dhidi ya sporting cp, alipokuwa Jorginho na alipoingia Partey, kipindi Gani timu ilitulia? Timu kama "inapelekewa sana moto" kati ya Jorginho na Partey nani ni option nzuri?
Halafu ikawaje tena?Gape la points 4 halafu bado kesho mpo away na Newcastle. πππ
Mathematically bado mpo kwenye kinyang'anyiro
Realistically you are out of equation, mnamsindikiza Bwana Harusi tu
Yap kuhusu kujifunza arteta Yuko vizuri ndio maana kuna watu nimewahi wambia humu arsenal haturudi tulipotoka Sana ndio tunasonga amejifunza mengi msimu huu hivyo next time atafanya zaidi hasa kwenye kupngeza kikosiUzuri nadhani Arteta huwa anajifunza kutokana na makosa. Last season tulikosa top 4 kijinga kabisa. This season kaipata 2nd place with 3 games to spare ila alipaswa kushinda title. Labda hata yeye, kama sisi na huenda wachezaji wake, alikuwa haamini kinachoendelea...kwamba tupo kileleni na uwezekano wa ubingwa upo.
Mwisho wa siku....self sabotage ya Hali ya juu
Brighton next. Mimi Arsenal ninachoona mkijitajidi sana ni points 90 na City akiteleza sana ni points 90 maana yake wapate draw 2 na win 2.Halafu ikawaje tena?
Hii quote naikubaligi sana.Uzuri nadhani Arteta huwa anajifunza kutokana na makosa. Last season tulikosa top 4 kijinga kabisa. This season kaipata 2nd place with 3 games to spare ila alipaswa kushinda title. Labda hata yeye, kama sisi na huenda wachezaji wake, alikuwa haamini kinachoendelea...kwamba tupo kileleni na uwezekano wa ubingwa upo.
Mwisho wa siku....self sabotage ya Hali ya juu