Chelsea kufungwa yeye ni jadi yake Yani mnapiga bomu motuary mnajisifu mmeua.Katika mechi tano zilizopita haya ndiyo maboga kabisa tunayapasua tu
Ally hua unaandika kama hautumii ubongo ndiyo maana hua wakati mwingine nacease kukujibu kwanza.Chelsea kufungwa yeye ni jadi yake Yani mnapiga bomu motuary mnajisifu mmeua.
Unaujua utamu wa Annal eeh. Usije tuharishia we PimbiAfu wanajisifu wameuakweli hawa ni AssAnal
Dah yaani watu mvua lawama jua keleleKauli ni zile zile.
Arsenal akishinda ni kwakua kacheza na timu mbovu
Yap...kwa sasa aseno anaweza kufunga timu za huko chini chini... Na ni bahati ya "ateta" leo angepigwa na Jumapili anapigwa tena na Nyukesto. Ingekuwa vipigo mfululizo angetakiwa kuondoka.Kauli ni zile zile.
Arsenal akishinda ni kwakua kacheza na timu mbovu
Newcastle au siyo?Yap...kwa sasa aseno anaweza kufunga timu za huko chini chini... Na ni bahati ya "ateta" leo angepigwa na Jumapili anapigwa tena na Nyukesto. Ingekuwa vipigo mfululizo angetakiwa kuondoka.
Njoo ujiongeleshe Tena we mchovuSaa 24 zijazo, chelsea atakuwa anaongoza 2:0
Ukimuona Arsenal hapo juu ujue kuna bingwa bado hajachezaNjoo ujiongeleshe Tena we mchovu
Nyie mshazoea kubondwa Hadi hamsikii maumivuUkimuona Arsenal hapo juu ujue kuna bingwa bado hajacheza
Uzuri n kwamba Chelsea hatushuki daraja, hayo mengine fresh tuu tunaishi nayoNyie mshazoea kubondwa Hadi hamsikii maumivu
Endeleeni na hayo masiala muone tofauti yenu na mshukadaraja n point 9 ambazo bado ujacheza na cty,nyimbu na nwcastle hizo Tisa kwaheri nakwambiaUzuri n kwamba Chelsea hatushuki daraja, hayo mengine fresh tuu tunaishi nayo