"Sasa hivi sera imebadilka sio ile ya kuuza vipaji"
[emoji23][emoji23][emoji23] Sera imebadilika vipi wakati bado mna boss bahili anaewanyonya wachezaji?
Wewe unadhani huyo Saka, Martineli au Saliba wakihitajiwa Psg au Madrid kwa dau kubwa na kuahidiwa mshahara mnono wa zaidi ya £250,000 kwa wiki watakataa na kuendelea kubaki hapo kwenu kwa mshahara wa £70,000 kwa wiki?
Kubalini au kataeni msimu huu ulikua ni msimu bora zaidi kwenu (one season wonder) msitegemee msimu ujao mtakua bora kuliko msimu huu.