Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

#COYG = KONYAGI = Timu ya walevi

Tunaimani na Kwior

Nketia ni Halaand mweusi.

hamis77 ni Kibwetere mtupu kawsponza wenzake kwa kuwapa natumaini ya uwongo.
Huyu hamis77 ni Makenzi mtupu, alikua anawafungisha kima wenzie humu swaumu ya kifo, na mijamaa ilivyo mizoba ikawa inamuamini.
Huyo Kwiyo unaambiwa ndio mrithi wa Messi kwenye tuzo za Ballon d'Or.
 
Leo yule mpiga kelele wa hapa angekuwa anapiga tu kelele Cha ajabu timu inashinda ila mashabiki hawana furaha kabisa[emoji16][emoji16][emoji16]

Punguza mahaba hamis77 mpira ni burudani Sasa mpaka burudani nayo unajificha aise[emoji16][emoji16]
Kesho tunabana pumbu city avutwe shati, tuna kijana wetu Declan Rice atafanya lolote
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom