Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Kinachoudhi zaidi Leo ni nyumbu kushinda
Kula chuma icho [emoji16] [emoji16]
1682866723537.jpg
 
Hatimae leo rasmi tembo ameanguka kwenye lile tawi alilokua imesimamia kwa mguu mmoja.
Sijui tuanze kufukua makaburi ya zile comments zenu mlizokua mnatiana ujinga?
Kima nyie mlikua mmeshanunua hadi vijora vya sare kabisa eti vya kusherehekea ubingwa.
tapatalk_-1065914115_642x618.jpg
 
Ishu kubwa na muhimu ni Champions League tumerudi. Huu ubingwa utakuja tu
Hatimae baada ya miaka 8 Arsenyani wafanikiwa kufuzu kuingia Uefa Champions League.
Tunakumbushana tu maana binaadamu tumeumbwa kusahau:
Mara yenu ya mwisho Arsenyeto kucheza CL kocha wenu alikua ni babu Wenger na mlipigwa na buyern munich goli 10-2
tapatalk_1075552489_369x207.jpg
 
Ass'anal makondoo, yuko wapi hamisa77

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
hamisa77 hamisa77 hamisa77 hamisa77

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Anyway. Kesho si tunakutana na yule Cha Wote Chelkenge? Yule ndiye wa kuanzisha revival yetu ya kumaliza msimu Kwa kishindo. Tusipompiga yule basi tutaamini rasmi kuwa nuksi imetukolea
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom