computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Shkamo Guardiola (Genius Guy)katuuzia Jesus akawanunua Halaand and Alvarez
“WHY ALWAYS ARSENAL “
Game ya juzi tumenyanyaswa sana si uwanjani tu angalia baada ya goli 3 zile city players walivyokua wanatufanyia dhihaka !!!
OkNajivunia kuwa mshabiki wa club kubwaa,,,,
Come on you gunners
SawaWatapata tabu sana kwa hii arsenal ya NDOOView attachment 2572701
Yap..na kiporo mkononi. Na upande wa pili City anaongoza ligi na kiporo mkononi.So nyumbu bado wapo nafasi ya nne?
That is very nice.Yap..na kiporo mkononi. Na upande wa pili City anaongoza ligi na kiporo mkononi.
Ulitakaje?Hawa Sp*rs wameoza