Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Umeandika vizuri sana ila sentensi ya mwisho umeharibu kila kitu. Makocha wakubwa wenye CV za uhakika wako dunia nzima, unasema hakuna replacement ya arteta? Castr
Bayern wamemchukua Tuchel ana CV fresh ya CL trophy ona nini kinaendelea.

Bayern pia ikamchukua Nagelsman exciting prospect ona walipofika naye.

Spurs went with Conte. Experienced coach ona alipowafikisha.

Liva wapo na Klopp na wanapambana wawepo Europa.

Point yangu ni kwamba Arsenal ilipo na iliyenaye ni kocha sahihi kwa sasa.
 
Nadhani atakuja Julio kiwelu
 
Ukumbuke pia msimu huu uliingiliwa na World Cup, kwa hiyo mastaa wengi walikuwa wanawaza huko wakampa assannal chance ya kukimbiza. SASA MASTAA WAMERUDI.
 
Arsenyani walijazana ujinga wakajisahau wakaanza kejeli na matusi hata kwa timu iliyoshinda kombe msimu huu wakiamini watabeba EPL, matokeo yake wanamaliza msimu trophyless!!! 😁
 
Sentensi yako ya mwisho mara zote ndio huwa inakuangusha. Kama bodi ya assanal wana akili kama hii mmekwisha. "Tusibadili kocha kwa kuwa Bayern wamebadili na wamefeli"
 

Arteta is equally smarter as pep, hata pep hakipewa kikosi cha arsenal hawezi kushinda EPL.
Pep ana cv nzur kwa sababu he never manages team owned by misers
 
Naaam,naaamini watu wenye low vision ya mpira wataangalia ubora wa arteta as a coach.watahoji experience ya coach kwenye title race and his decision making before and within game.wote wako sawa.

Ila tu naomba niwaaambie kwamba arteta na timu yake nzima walijua kwamba hawachukui ubingwa labda maajabu yatokee kama yaliyotaka kutokea .
Kwa mtazamo wangu msimu huu arteta na timu yake msimu huu walikuwa wanatengeneza image ya club ili kuvutia wachezaji ambao ni first class.
Alichotuzid city ni class ya wachezaji ila sisi kuna muda tulimzidi fomu tu.never hatujaweza kumzidi mancity class ya wachezaji.

Image ya timu kwa miaka karibu 7-10 ilikuwa imeharibika na ilipoteza mvuto kwa investors na wachezaji.arteta na edu wame reclaim sura ya timu.what next?.
Ni muda wa kupata quality players hasa na sio squad players tu.lazima tupunguze saana squad players, wachezaji kama vieira,nelson,smith rowe,lokonga,nketiah,holding,kiwior,jorginho nk ni squad players tu.hubebi ubingwa na hawa watu.watakusaidia kwenye baadhi ya tournaments tena at low level ila ikifika knockout stage kwa uingereza hawana msaada.UZA WOTE HAWA.
sija panick hata kidogo I saw it coming jana,kufungwa kulikuwepo tu.


Lastly tunahitaji wachezaji katili,wagumu,wenye roho mbaya,dedicated na selflly motivated ILA technically and tactically gifted
 
Wakulaumiwa ni hamis77 kawajaza ujinga mashabiki wenzie humu halafu yeye kawakimbia.

Poor hamis77
Yan huyu jamaa ukikuta kwny majukwaa ya wenzie anavoielezea Arsenal.. Kama ww hauangalii mpr unaweza dhan anaongelea team ambayo ni htr sana kuwah kutokea kwny uso wa dunia
.

Saivi aliko huyu jamaa hamis77 ni Mungu pekee na cabinet yake ndo wanajua na wanaweza kumpata na kumtoa huko.
 
Huko sahihi.. Punguzeni kununua wachezaj kama mafungu ya nyanya.. Wekeni hela anayetoka na anayeingia isiwe Mbingu na Ardhi.

Ubingwa hauna ujanja ujanja kwmb utabahatisha tu ubebe wakt kuna watu serious wamewekeza na wako makini na kazi zao.. Mnakoelekea ni kuzr lkn ss badilikeni kama mnatk kubeba makombe ya maana sasa.
 
Lastly tunahitaji wachezaji katili,wagumu,wenye roho mbaya,dedicated na selflly motivated ILA technically and tactically gifted.

Nimekuelewa sana tena sana hii sentensi ya mwisho ndo inapigilia msumali wote.
Tuanze na Rice & Caicedo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…