Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,186
- 18,904
Nadhani Ni Chelsea,na Kama sio Chelsea Basi Ni Newcastlevs nani??
Asenyo sasa rasmi kuanzia leo inatambulika kama Upwiru Fc.Aseno KIJORA
ndio tayari leo rasmi wameingia kwenye mfumo wa miaka 21 bila ya kubeba Epl.
😂😂😂 Ww jamaa fala sana yn 😂😂View attachment 2600919
Kula chuma hikooo🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kwenye Champions mnaenda kufungasha virago mapema tu kwenye hatua za makundi na kurudi zenu kwenye Futuhi(Europa)Hata kwenye champion tunaenda kutia aibu
Wasamehe walikuwa wamelewa 😂mkorea Halaand kiatu Arsenyanus.............(Kondoo)
hamis77 kila timu duniani sasa hivi inaogopa kukutana na Arsenal hiyo building yake siyo mchezo Guardiola lazima apaki basi na ubingwa lazima.
MalcolM XII hakuna cha kutuzuia tusitwae ubingwa msimu huu.
Mtafanya nini tena "Kila mtu ashinde mechi zake"Tumetembeza vipigo kwa timu nyingi mpaka zimekua haters siku hizi zote zinashangilia Arsenal ikiwa inastruggle.
Nafikiri imekua haraka sisi kutengeneza haters wengi kwa mara moja huku tukiwa hatuna 100% quality. Tuwe tunabeba hoja za msingi hoja za city ana mashindano mengi ni za kimiyeyusho.
Bado tunaweza kugeuza kitu labda. We'll show great character kama tutafanya hivyo
Timu zote zinazojielewa ikifikia hatua hii ni kufukuza kocha tu. Umetolewa CARABAO, FA, EUROPA, halafu leo mechi nne mfululizo bila ushindi!! Tafuteni kocha anayejielewa sio hako kakatuni kanarukaruka kwenye touchline muda wote.That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sanahamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
That's why hatusongi mbele reason ni kuwa na die hard fans wwnye small mentality kama hizi ,hii kauli ilikuwa inanichekesha sanahamis77 Will Jr ndio kauli zao hizi leo Manchester City ametukojolea je Arteta anatosha kwenye position yake?reason kwenye game za pressure mean 8 za kumaliza round na kuwa winner katika last 4 games kapata 3 points pekee
Manchester united chini ya fergusonKwahy city atakuwa timu ya kwanza kushinda EPL mara tatu mfululizo eee au.?
Fergie alishafanya hivyo mara 2.Kwahy city atakuwa timu ya kwanza kushinda EPL mara tatu mfululizo eee au.?