Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Lille striker Gervinho is having a medical at Arsenal ahead of his move to the emirates.Reports have claimed the ivory coast international has agreed a four year deal with the gunners and he is completing the formalities of the move which is expected to be worth £10.6.(skysports)
 
Hawa mwaka huu lazima washuke daraja,sasa ile number ya clichy nani atacheza???hahaha kweli Arsenal mwaka huu hawataki utani......
 
Naona slowly Citeh wanaibomoa Arsenal...

Hawa footballers uwa hawana akili unajua lol
 
Reactions: Mbu
Hawa mwaka huu lazima washuke daraja,sasa ile number ya clichy nani atacheza???hahaha kweli Arsenal mwaka huu hawataki utani......

alipoondoka ashley cole mlisema hivihivi ....
 
100% ur right man but umewaacha sagna na yule kipa dogo.
 
Hawa mwaka huu lazima washuke daraja,sasa ile number ya clichy nani atacheza???hahaha kweli Arsenal mwaka huu hawataki utani......

Duh.......Hii kali ya mwaka.......

Yaani Arsenal ishuke daraja kwa kuondoka Clichy!!!!!!...........

Si mchezo.....
 
Naona slowly Citeh wanaibomoa Arsenal...

Hawa footballers uwa hawana akili unajua lol

Kweli kabisa wakuu. Ukiangalia Man City mbinu zao za kuwanunua Adebayor na Kolo, haikuwa kwa sababu walikuwa wanawahitaji sana, bali kwa sababu walitaka kuidhoofisha arsenal, ili waingie kwenye nne bora wakiamini ingekuwa ngumu kuidhoofisha liverpool. Hata hivo wamewin. Sasa wanaiona arsenal bado ni tishio kwenye nne bora, wameamua kumchukua Clichy na Nasri.
Lakini sio Citeh peke yao, ona pia Totenham nao wameanza huo mchezo; kila mchazaji wanaemtarget arsenal nao wanaonyesha interest tena kwa bei kubwa, mfano Alvarez, Matta nk. Lengo ni kuhakikisha Arsenal inakuwa weak ili waingie nne bora. Ila mi naamin hawataweza.
 
.....Washika bunduki wenzangu likizo inamalizika, Roll-Call inawadia,....mpooooo?...
Wacha1, Balantanda, Michelle, Ng'wanza Madaso, Arsene Wenger, Kweli, Richard, Bubu Ataka Kusema, Questt....

ARSENAL, TOGETHER WE STAND!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Naona mazee Mchongoma unarudi kwa kasi ya hatari.
Nini utabiri wako msimu huu?
 
Reactions: Mbu

Feeder Club to Man Citeh Etihad
 
Naona mazee Mchongoma unarudi kwa kasi ya hatari.
Nini utabiri wako msimu huu?

...Utabiri wangu Man U Bingwa, Chelsea number Mbili, Arsenal na Man Citeh tukigombea tatu bora..
 
...Utabiri wangu Man U Bingwa, Chelsea number Mbili, Arsenal na Man Citeh tukigombea tatu bora..

Wape ubingwa mafioso na Manure wao lazima washinde then Mancs sisi washasema tutashuka daraja .... ..... ....... khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Jana,leo na kesho!
 
The gunner mwenzenu, Kweli, ameshaitoa Chelsea kwenye title race hata kabla pre-seaon haijaanza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…