Camilo_Cienfuegos
JF-Expert Member
- Sep 9, 2011
- 11,378
- 15,385
Waambie haoArsenal maumivu kwetu kama burudani TU, Yani hiyo J5 tunaenda kujilipua hapo Etihad Hadi nzi wote watakimbia humu
FA Cup fainali ni June 3, msimu utakuwa umemalizika. UCL nusu fainali ni May 9 na 17 hapo katikati atacheza mechi moja tu. Kama wataendelea fainali itakuwa June 10. Baada ya nusu fainali City atakuwa kabakisha mechi 3 tu za ligi.Man City ana EPL, UCL, FA. Mechi 8 za lazima apoteze point
Sisi tuna EPL pekee mechi 6 tu
Kwahiyo mashabiki wa manshity pia wana akili mbovuUkiwa shabiki wa Ass'anal lazima uwe na akili mbovu sana, unawezaje kushangilia timu haina rekodi yoyote kimataifa.
#&#Ass'anal mapaka Hallaand kiatu#&#
Mashabiki wa City watoto. Wasamehewe, kwa maana hawajui walitendalo.Kwahiyo mashabiki wa manshity pia wana akili mbovu
Sijakutana na shabiki wa Arsenal aliyesema Saliba kuumia ndiyo sababu.Chelsea tulikuwa na double figures za injuries msimu huu na tukachekwa sana
Arsenal wao kaumia Saliba tu tayari wamebugizwa magoli 9 kati ya 34 waliobugizwa msimu huu na wako kwenye hati hati ya kushindwa kuchukua kombe kwa ligi walioongoza kwa muda mrefu
Wangekuwa na injury double figure kwa wachezaji wao muhimu kama akina Matrtineli, Saka, Partey na wengineo si mngekuwa mnapigania kutoshuka daraja?
Suspended.Upamecano anamchallenge Maguire. Tunadubiri jibu lako leo Lord Maguire, usituangushe.
View attachment 2596989
Pep Guardiola is known to have privately remarked on how much more celebrated his success at Manchester City would have been if it were at Manchester United.
Naendelea kusisitiza. Huwezi ku draw game uliyoongoza 2-0 wakati wewe ni title contender.Arsenal ni disgrace. Unawezaje ku draw game uliyoongoza 2-0 wakati wewe ni title contender.
Hizo sio tabia za mabingwa. City ana kiporo kimoja. Race yenu imeishia hapa.
Save this
Great run but second position is still the best hahahahaObjective ya msimu ilikua kua ndani ya top four. Ilifikiwa kwa hizi suluhu 3.
Kisha hakuna anayefurahia. Wote tunaamini kwa tulipotokea na tulipo namba nne ni underachievement bila kujali nini au nini. Kihistoria kuna timu moja tu ishaongoza xmass na ikakosa ubingwa, ni liva ishawatokea mara mbili.
Mara ya kwanza ni ile ya Gerrard kuteleza ya pili ndiyo hii point moja wanayoiongelea kila saa. Kinachokera siyo kuingia kwenye hii historia ila ni kupoteza kombe kwa timu ambayo mashabiki wake Tz nzima hawawezi jaza uwanja wa Azam.
Ni aibu. Yaani shabiki anayekuja kukuambia unapoteza kombe hata hajui jina la kipa namba mbili wa City mpaka agoogle, huyo shabiki wa city mwenyewe hajui kama kuna mwaka club yake ilitoa season inaitwa All or Nothing, kama ya Arsenal.
Hiki ndiyo kinakera. Losing is there, we had a nice run, it was amazing along the way tumevunja na kuweka rekodi mpya kuna zingine tumezishindwa tutakutana nazo msimu ujao. But losing a trophy kwa timu ambayo haina mashabiki ni upuuzi.