"Kama Saliba na Tomiyasu wasingeumia, Arsenal angekuwa bingwa."Ngeli za maneno, umenikumbusha mbali mkuu! Poleni Sana wakulungwa
Arteta anawachekea sana kenge hawa
Sasa yule mtumia madawa Vieira alikua anafanya nini uwanjani?
Ila binadamu tunasahau sana"Kama Saliba na Tomiyasu wasingeumia, Arsenal angekuwa bingwa."
NGE, NGELI & NGALI. π
Vile ManCity atakavyozifanya hizi kima siku ya jumatanoKwa hiyo hivi vitoto ndio vishinde mwaka huu!!! Eti Nketiah na Tieney ndio washinde kwa City
Mnamuonea bure KipaMseng Ramsdale mpiga nyeto na yule mtumia madawa msimu ujao wasiwepo hata benchi
Next game turner akae golini, Arteta aache usenge kmmmk
Kuna moja kati ya mawiliMnamuonea bure Kipa
Kuna moja kati ya mawili
1. Anapiga nyeto/2. Marinda hayapo salama
Tatizo ukiwaambia ukweli watakwambia hujui mpira, wao wanataka uwasifie tu.Tukiwaambia hawaamini
Watacheza hadi watenguke viuno ila probability ya kushinda Etihad ni sifuri.
Watakwambia hujui mpira, wao wanachotaka uwaambie wana timu ya kubeba ubingwa na wanaweza kushinda popote pale, acha waendelee kujazana upepo.Mfano mzuri ni mechi ya mwisho msimu uliopita, City anapigwa 2 mashabiki wa Liverpool wakaanza kushangilia. Ilivyopigwa comeback wakina Salah wanauliza mashabiki vipi matokeo ya City uwanja mzima mashabiki hawaamini kilichotokea.
Hawa Arsenal pale Etihad wanaenda kufungwa tu, Man City wamecheza game nyingi ngumu na za ushindani msimu huu na wanapata matokeo.
Hapo misimu 5 nyuma United alibeba ubingwa mara 4, Three-peat ikiwemo. Msimu uliofuata pia baada ya huo akabeba tena EPL.Ila binadamu tunasahau sana
Hawa ni nyumbu walikua wanaongoza kwa tofauti ya points 8, michezo ilibaki 6View attachment 2596097
Misimu mitano nyuma ndio upuuzi ganiHapo misimu 5 nyuma United alibeba ubingwa mara 4, Three-peat ikiwemo. Msimu uliofuata pia baada ya huo akabeba tena EPL.
Usifananishe United ya SAF na hii Arsenal ya Arteta.
Hawa wacha wajipe matumaini maana ni team yao wanabid wapeane moyo.. Lkn deep down wanajua kbs what is going to happen siku iyo.Wakati tupo kwenye tittle race na liverpool, liverpool ambayo ilikua haidondoshi point hovyo kama nyie, liverpool ambayo ilikuwa na wachezaji ambao wapo matured enough na wanaweza kucheza na kupata matokeo under pressure, akija pale etihad hajawahi kupata pointi 3.
Leo arsenal yenye wachezaji ambao hawawezi kuhimili pressure na wengi hawajiamini ndio mnataka mje kumpiga city ETIHAD?!!
Mpira unadunda ila kwa stages kama hizi, City huwa ni winning machine na wote ni mashahidi, liverpool walikua tishio kuliko nyie lakini waulizeni walivyobaki ulimi nje, point 1 tu iliwashinda kurecover.
Lakini sio mbaya mkipeana matumaini.
Nawasubiri Etihad mniletee kombe langu in pep's voice.
Hesabu ulizokua ukikuta wanakupigia humu.. Yan unabak umesurrender tu kua hawa jamaa mbona ni Mabingwa tyr.Nilishakwambia nyani haoni kundule.
Ulikua unasema man city atapoteza si chini ya point 5 nikakuuliza, wewe unaona point atakazopoteza city tu ila atakazopoteza arsenal huzioni?
Haya wewe 6 zimeshatembea wakati city haijulikani ni lini atapoteza hizo tano, naona sasa tutaongea lugha moja.
Man city ni bingwa wako hutaki kashabikie cricket.
Sawa tuli-bottle league. Ilisaidia nini Arsenal kipindi hicho? Msimu uliofuata tulibeba na nyie fanyeni hivyo msimu ujao.Misimu mitano nyuma ndio upuuzi gani
Tuzungumzie msimu mliobottle league title