Pain killer
JF-Expert Member
- Aug 15, 2017
- 14,360
- 21,713
Wachezaji wetu Wana mentality nyingine kabisa ,sio za kitoto kama Hao kina martnell ,saka ,ramsdel hajitambuiYeah huyu city tutaanza wenyewe kumfungia busta
Binafsi simuhofii city
Hiyo game ipo 50/50 ukiangalia ki-proffesional zaidi
Arsenal NDOO
Hii mechi niliisubiri kwa hamu kubwa.
Hautakiwi kuogopa maana ukishabiki timu hiyo hayo ndiyo maisha ya kila siku .Kuna msimu wa Ramsey kwenye peak naTop scorer wenu mliongoza kwa muda mrefu watu tunajua tayari mabingwa kabla ya kunyan'ganywa tonge mdomoni .
nenda chooni ww usije ukajinyea.Arsenal akikosa NDOO niulizwe mimi
Katika mechi zilizobaki kwa city Kuna atakazo win, draw na zingine kupoteza kabisa
SOMA TENA
Nimeipenda ile spirit tulioonesha from start, hasa second half
Tukienda kwa city tupande na spirit hii hii
Ni mjinga pekee atakaeamini city atashinda game zote zilizobaki
Genius arteta Leo ametuangusha kwa huyu mtoto wake veira, was good for nothing
Arteta atulize akili jinsi ya kuimaliza ligi
Arsenal NDOO
Haaland KIATU
Mpr chochote kinawezekana lkn ndg zng mmepoteza mwendo.. Yan mmepanic kwa ufup mnawaza sana aliye nyuma yenu kuliko kufocus na mechi zenu na iyo kisaikolojia imewavuruga tyr na ilo man city analijua tyr na j5 anatk kuwafukia kbs mpoteane.Sawa mkuu tuombe uzima
kwako tu kakupa 3
J5 tutapigana kadri ya uwezo wetu kujaribu kurejesha matumaini ila inasikitisha mnoMpr chochote kinawezekana lkn ndg zng mmepoteza mwendo.. Yan mmepanic kwa ufup mnawaza sana aliye nyuma yenu kuliko kufocus na mechi zenu na iyo kisaikolojia imewavuruga tyr na ilo man city analijua tyr na j5 anatk kuwafukia kbs mpoteane.
Mkuu ubingwa ulikua mikononi mwenu kbs.. Yan tatz ni kuanza kumwaza sana aliye nyuma yenu ww waangalie body language ya wachezaj wenu utajua kbs hawa watu wameingiwa na hofu na hawako fully focused kwny game yao binafs.J5 tutapigana kadri ya uwezo wetu kujaribu kurejesha matumaini ila inasikitisha mno
Tatizo lenu kubwa mlikuwa mnajua mmeshamaliza ligi wakati mechi zilikuwa zimebaki 8 akili yenu mnajua mechi na City tu mnashindwa kufocus mechi zingine hii ndo aibu mnayokumbana nayoArsenal akikosa NDOO niulizwe mimi
Katika mechi zilizobaki kwa city Kuna atakazo win, draw na zingine kupoteza kabisa
SOMA TENA
Unajua tokea uje na kauli mbiu ya nyumbu ni wajinga, timu yako haijapata matokeo ya ushindiKuna nyumbu hua anabet tushinde huyu ndiyo adui yetu