Hardlife
JF-Expert Member
- Apr 11, 2021
- 2,760
- 6,320
Nikweli.Tukishinda matumaini yatakuwepo
Ile match ya Westerham mlikosea sana
Nikweli.Tukishinda matumaini yatakuwepo
Ubingwa ndg zng msahau kbs kama hamuamini sbrn j5 Muone.Tukishinda matumaini yatakuwepo
Sio hiyo tu mkuu hata ya liverpoolNikweli.
Ile match ya Westerham mlikosea sana
Inaitwa trebleMancity kuna uwezekano akabeba Mataji matatu UCL, EPL and FA CUP
Sawa mkuu tuombe uzimaUbingwa ndg zng msahau kbs kama hamuamini sbrn j5 Muone.



















Arsenyani ni takataka leo nilijua uhakika kabisa shenzi.Kuna nyumbu hua anabet tushinde huyu ndiyo adui yetu
Next fixtures wapi ?Am not proud of this.
Small mentality club,season hii baadhi ya fans sababu ya small mentality wakasema Europa league halina umuhimu hapa huwa ndipo naonaga nipo tofauti na baadhi ya fans kimentality unaishia kutukanwa au kusemwa vibaya,Arsenal nzima bado wana hii mentality ya Guinness world recordHata Europa league tusingefika kokote kule kwa hii mindset ya hii timu, miaka nenda Rudi katika crucial moment wao ndio wanaharibu this is not a mindset ya timu inayotaka makombe.. very poor mindset kwa timu inayo claim ni top team.. it's disappointing
Ndugu yako hamis yeye anasubili Mpaka man u tufungwe ndo uonekana.Am not proud of this.
Mancity watakubali kweli timu ambayo kushindwa ni bahati? Harry Kane angekuwa mancity sasa hivi angeweza kufunga magoli mengi kwasababu timu ina create chances nyingi za kufunga kwa washambuliaji.Hongereni arsenal mmecheza kwa spirity kubwa sna. Next mnakutana na Man City naamini mtashinda![]()
Haya nendeni mkatafute ringi lenu, mjipange tena msimu ujao kenge nyie![]()



kweli kabisa wakatafute ringi tu au gololi.