Tumeongea sana wengine tukaonekana wapumbavu Arsenal alistahili kubeba Europa league tukaambiwa na die hard fans kuwa HATUITAKII MEMA haya sasa kiko wapi?sisi wenye akili tuliona bora Europa league hata tukikosa ubingwa tuna kombe la ulaya very PAINFUL PAINFUL