Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Narudia tena kama timu inayoongoza ligi inacheza hivi, ligi ya uingereza ipo chini kwa ubora
Acha kukariri soka juzi umeona jinsi timu inayoongoza ligi huko spain Barcelona ilivyogalagazwa natimu mbovu ya man utd
 
Sasa kama mbovu kwanin iongoze ligi nakwanin ushangae arsenal kuongoza ligi nakucheza vibaya leo... Idiot
 
Ila Arsenal daah still bado hata kocha yetu ana lack of maturity, kuna haja ya kula pindi kwa Fergie na Morinho ambao wanajua jinsi ya kucheza mechi za mwisho ambazo zina amua ubingwa.

Wachezaji nao inabidi wakue kidogo wajue tupo kwenye mbio za kugombea ubingwa, mechi ya pili tunaongoza mbili zote zinachomolewa.

Hivi Etihad hapo sijui itakuwaje daah.
 
Uliwaonya wadogo zako wakashupaza shingo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…